TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
- Thread starter
- #41
Mak
Ubaliano gani unaa tu kwani hamtadinyqnq tena mpaka mrwkodiane ?Shida sio utimamu wa akili shida ni namna unavyoyachukulia Mambo.
Ku deal na Mambo yasiokuhusu Shida ya akili ndipo inapoanzia hapo.
Hujui LENGO na DHUMUNI la wahusika kwann mlio nnje mjudge?
Mnayajua makubaliano yao?
Sababu za wao kufanya ivyo?
KAma jambo lolote la watu binafsi halikuhusu na ukaanza li discuss shida ya Akili inaanzia Hapo.
Kuwa na Akili au Kutokua na Akili ni Kujua nini ushiriki kutoa ushauri na nini usishiriki.
Ni SAWA na Mtu aseme unavyokula UGALI (wangu) una upungufu wa Akili, yeye inamuhusu nini?
Yawezekana wala ugali wote wana upungufu wa akili je Wewe usie ula huo ugali kihere here ni cha nn?
JAMBO lolote ambalo halikuhusu ni vyema kulikalia Kimya na Huo ndio Utimamu.
KAma ukiamua Kushiriki, Toa MAWAZO yako kulingana na uonavyo ila usihukumu wale wanaotenda hilo jambo lisilokuhusu.
Huo ndio UTIMAMU