Hakuna mwenye utimamu wa akili anaweza fanya hivyoKuna burudani nyingi privacy mkuuu hata kuangaliana kufanya reviews pia ni burudani
Nina kijana anaweza kukutia mimba,have a respect,if you can not ,shut up!Ni utoto, ukikua you know better...
Haiwezekani kama akili zipoBby naomba tujirekodi... Hii hapana kabisa..
Sijawahi hata kumiliki mkuuWanataka kujua wapi wanakosea ili warekebishe..!!
Vipi kiongozi una connection utupe tusafishe macho..!! 😹
Muhimu mnyoe vichaka..!! 😎
Shida sio utimamu wa akili shida ni namna unavyoyachukulia Mambo.Hakuna mwenye utimamu wa akili anaweza fanya hivyo
Embu kwenda na wewe, nilichokosea hapo ni nini?Nina kijana anaweza kukutia mimba,have a respect,if you can not ,shut up!
Sasa unaumia nini?Sijawahi hata kumiliki mkuu
Ni muhimu watu kuwa na busara, heshima kwa wenzi wao, na kufikiria athari za muda mrefu. Uaminifu na heshima ya ndoa haihitaji picha za faragha kuhifadhiwa kwenye simu. Tunapaswa kuwa makini na maadili, hasa kwa vizazi vinavyotazama.Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji.
Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?.
Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?.
Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao ,bila kujali kwamba anaweza mkewe ama mumewe akashika hiyo simu ama mtoto.
Akili zipo kweli?
Watu wa namna hii ni either akili kisoda au ni magalasaNi muhimu watu kuwa na busara, heshima kwa wenzi wao, na kufikiria athari za muda mrefu. Uaminifu na heshima ya ndoa haihitaji picha za faragha kuhifadhiwa kwenye simu. Tunapaswa kuwa makini na maadili, hasa kwa vizazi vinavyotazama.
Kihama😁😁😁Pata picha uwe na mchepuko halafu, mjirekodi mkiwa faragha Kwa kutumia simu Yako, then zile picha au video zinajisave auto kwenye google acc Yako, muda unaenda we umeshasahau siku ya siku mkeo kaomba laptop yako ya nyumbani, Kuna kitu anataka kufanya na bahati mbaya huja sign out google acc Yako, mara anaingia acc Yako na kuona madudu Yako hapo uta escape VP from sobibo hiyo??
Embu kwenda na wewe, nilichokosea hapo ni nini?
Tangulia weweTwende wote