TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Kwani ya Engonga ilikuwaje?Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji.
Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?.
Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?.
Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao ,bila kujali kwamba anaweza mkewe ama mumewe akashika hiyo simu ama mtoto.
Akili zipo kweli?
Weka clipKuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji.
Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?.
Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?.
Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao ,bila kujali kwamba anaweza mkewe ama mumewe akashika hiyo simu ama mtoto.
Akili zipo kweli?
Burudani gani?,mbali na ile burudani yenyewe ambayo ni privacy?Ni vile tu Fani imeingiliwa ila huko nyuma kabla ya haya maujinga ya connection ilikua kawaida na moja ya kitu wapenzi wanakifanya kwa lengo la kuja kutaniana na kuelekezana tuvitu tuvitu.
Ila saivi imegeuka mwiba kuachana ni dk tu na video hizo hizo hutumika kama mwiba.
Lakini wakat wanajirecord wote huwa na Nia 1 na Lengo 1 ambalo ni Burudani.
Huo ujinga mwingine ni mmoja tu anakua hana akili timamu anafanya ungese wake.
Hakuna binadamu mwenye akili timamu anaweza kufanya huo upuuziItakuwa wanaweka ushahidi
Kuna burudani nyingi privacy mkuuu hata kuangaliana kufanya reviews pia ni burudaniKwam
Burudani gani?,mbali na ile burudani yenyewe ambayo ni privacy?