TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
- Thread starter
-
- #41
Ubaliano gani unaa tu kwani hamtadinyqnq tena mpaka mrwkodiane ?Shida sio utimamu wa akili shida ni namna unavyoyachukulia Mambo.
Ku deal na Mambo yasiokuhusu Shida ya akili ndipo inapoanzia hapo.
Hujui LENGO na DHUMUNI la wahusika kwann mlio nnje mjudge?
Mnayajua makubaliano yao?
Sababu za wao kufanya ivyo?
KAma jambo lolote la watu binafsi halikuhusu na ukaanza li discuss shida ya Akili inaanzia Hapo.
Kuwa na Akili au Kutokua na Akili ni Kujua nini ushiriki kutoa ushauri na nini usishiriki.
Ni SAWA na Mtu aseme unavyokula UGALI (wangu) una upungufu wa Akili, yeye inamuhusu nini?
Yawezekana wala ugali wote wana upungufu wa akili je Wewe usie ula huo ugali kihere here ni cha nn?
JAMBO lolote ambalo halikuhusu ni vyema kulikalia Kimya na Huo ndio Utimamu.
KAma ukiamua Kushiriki, Toa MAWAZO yako kulingana na uonavyo ila usihukumu wale wanaotenda hilo jambo lisilokuhusu.
Huo ndio UTIMAMU
Ili wakuibe😉Tangulia wewe
Hivi bado wapo watu hawa wa hivi,,katika zama hizi za utandawazi!!?Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji.
Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?.
Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?.
Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao ,bila kujali kwamba anaweza mkewe ama mumewe akashika hiyo simu ama mtoto.
Akili zipo kweli?
Tena kama takataka mpaka wanaojiita wasomiHivi bado wapo watu hawa wa hivi,,katika zama hizi za utandawazi!!?
😁😁😁
Kihama😁😁😁
Hata kutumia Kamera mimi siweziNdo hivyo mkuu ni bora hata kutumia camera ya kawaida ambayo Ina memory ndani yake kuliko simu, maana unakuta wengine wake zao Wanajua email za waume zao na password zao so akiingia tu kule umeisha, tekinolojia inaharibu sn mahusiano ya watu now days!
Laana ziwashukie popote walipoTena kama takataka mpaka wanaojiita wasomi
Kwani kajirekodi xxxInategemea huyo MTU ni nani Mfano harmonize alikuwa na deal kubwa CRDB akafunjiwa mkataba, na kampuni mbali mbali zikamktaa ikiwemo Jambo , n.k
Ukiwa wewe ni MTU wa kawaida waweza kufika huko Ila Kama unaelewa the side effect don't do that
HahahaMimi biashara yangu unusual simu za used na kuuza, kama ningelikuwa mjinga ningelikuwa nishavujisha connection za watu wengi sana, kuna pisi kali utazikuta huko mitandaoni utashangaa unauziwa simu na chinga tu kuna video wamejirekodi wakifanya yao kama walivyozaliwa, pia imenisaidia kujua hizi pisi kali shida yao hela tu hawaangalii chengine kwa kweli nimeshangaa wanalala na watu hata hawaendani nao kwa njaa zao
Daaah!!Mimi biashara yangu nanunua simu za used na kuuza, kama ningelikuwa mjinga ningelikuwa nishavujisha connection za watu wengi sana, kuna pisi kali utazikuta huko mitandaoni utashangaa unauziwa simu na chinga tu kuna video wamejirekodi wakifanya yao kama walivyozaliwa, pia imenisaidia kujua hizi pisi kali shida yao hela tu hawaangalii chengine kwa kweli nimeshangaa wanalala na watu hata hawaendani nao kwa njaa zao
Inaweza kua ni marketing kwa upande mwingine 🤣Sema Raha Ya Kujirekodi Kwa Mwanaume Lazima Uwe Na Bolo Kubwa....Inapendezesha Zaidi Video...
Wewe umepata wapi ujasiri wa kuangalia clips za wanadoa wakiwa katika tendo la ndoa? Umepata wapi hizo clips?Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji. Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?.Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?.
Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao ,bila kujali kwamba anaweza mkewe ama mumewe akashika hiyo simu ama mtoto.
Akili zipo kweli?