Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?


Kama akili zako hazifanyi kazi kwa usahihi au hupendi kuzitumia Sana kuoa sio chaguo sahihi.
Ndoa inahita Akili ili iwe yenye tija.

Anayekushauri usioe huku akijua unaakili zilizotimia ujue yeye hakuwa nazo au alishindwa kuzitumia kisawasawa.

Ni sawasawa mtu akuambie usifanye biashara kisa imemshinda yeye
 
kuishi na kufanya maisha pamoja nayo inahesabika kama kuoa?
 
kuishi na kufanya maisha pamoja nayo inahesabika kama kuoa?

Unataka kusemaje?
Hiya ndio tafsiri halisi ya kuoa.

No religion
No government

Kuoa ni Makubaliano ya mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kama mume na mke. Full stop.

Kuoa ni Jambo la asili. Halitegemei Dini wala serikali
 
Kama unaendesha maisha yako kwa kusikiliza ushauri kutoka kwa watu wengine,basi usioe coz akili yako bado haijakomaa.
 
Unataka kusemaje?
Hiya ndio tafsiri halisi ya kuoa.

No religion
No government

Kuoa ni Makubaliano ya mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kama mume na mke. Full stop.

Kuoa ni Jambo la asili. Halitegemei Dini wala serikali
nilikua nataka kupata tafsiri sahihi, kama ni hivyo sahihi
 
Unakuta unaenda kwa jamaa yako

Yupo na mke wake,watoto kiufupi ni very lovely family.

Then mmepata dinner anakusindikiza kwenye gari yake anaanza kukuambia mwanangu usije ukaoa.

Hili swala linanichanganya sana.
 
Kwahiyo mimi sitakiwi kulea watoto nisiowazaa?? 😹😹

Hivi hao wanawake wanajipa mimba wenyewe? Unakuta mwanaume kadanganya hana mke, kumbe kaacha mke na watoto mkoa X yupo hilo eneo Y kikazi.
Kadanganya binti wa watu anapiga dry kijusi kimetunga, binti anakuja kugundua kazaa na mume wa mtu mtoto kashaanza nursery. Hapo utamlaumu mwanamke au mwanaume? Au wote kwa pamoja??

Wewe zile trip zako za kiofisi unakoendaga hujala mtoto wa mtu dry? 😹😹
Wanaume nyie wanafki sana..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…