Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 338
- 397
Dah pole sana, Mimi pia huwa napitiaga kipindi kama hicho, huwa sitamani kufanya chochote lakini baada ya muda hali hiyo huwa inaisha, always time heal, jipe muda tu itaisha.Siku ya jana,leo na sijui hiyo kesho itakwendaje napitia msongo mkubwa sana wa mawazo najaribu kujiliwaza na kujifariji pamoja na kujichanganya na watu ila nikikaa kidogo na kufikiri najikuta na rudi katika huzuni na mfadhaiko wa nafsi sio siri nakosa raha na hamu ya vitu vingi naomba mbinu ya kujikwamua
Kama kuna mtu alishapitia hali hii naomben msaada. Pia mimi sio mlevi wala situmii kileo chochote.
mmmhMeza cetrizine kidonge kimoja. Inasaidia 'kukata' mawazo!
Yeah. Cetrizine ni H1 blocker. Pamoja na mambo mengine, inasaidia pia ku block mawazo yanayozalisha stress.mmmh
Alkasusi ina boost dakika 5 tu zatosha😁uwe na depression upate ngvu ya kupiga papuchi mmh
Oa weweenapanda 'street fighter' Civilian moja iko njema sana, hairembi, uyoo mpaka Tabata, nagonga sana Makange na smoothies za kutosha
narudi mpaka Gomes, nasubiria 'Konde Boy' TATA, uyoo mpaka home, napiga kimoja nalala
Nashukuru ndugu najitahid kuswal napata relief kwa mda tatizo mawazo yakinijia najikuta napata mfadhaiko tena sio siri usiku nauogopa maana ndo mda unakuwa peke yako ninachoshukuru Mungu sijafikia stage yakukosa usingizSwali,Salio pray pray pray harder wallahi mawazo na stress zinaisha kama huna dini fanya meditation
Kama ni Maisha haswa kutokuwa na kipato ni kutuliza akili then jichanganye sana, kama mazingira yanaruhusu badiliMajaribu ya kimaisha
Asante sana ndugu stress zinazonikabili hazichangizwi na tamaa ya kitu chochote kuna mambo natakiwa kuyatatua yananipa utata sana njia zipo ila pengine ndo ninaweza nikawa najichimbia shimbo kabisaFanya maisha yako rahisi na ondoa kutaka visivyotakikana wala kufikiri visivyofikirika. Stresses nyingi zinaletwa na usasa utokanao na ubepari na kutamani usichoweza au kuataka kupata kingi au kujipa haki hata usipostahiki.