Mnaumia nini Kufungwa Goli 5 na Yanga SC leo, wakati GENTAMYCINE kila nikiwasema Viongozi na Wachezaji wa Simba SC mnanuna na kunitusi?

Brother toa neno.
Unahisi tufanye nini kwa sasa????
Binafsi nashauri.
Simba lazima tufanye marekebisho makubwa yafuatayo:
1. Tuuze wachezaji wazembe na wazee km Onana etc
2. Robertinho atoke
3. Yanga watueleze wanatoa wapi makocha.
Wewe toa ushauri please
 

Kaka nitaongea
Asante sana
Kwa sasa acha tutafakari kwanza kabla ya maamuzi.


1.Wachezaji wafuatao waondoshwe haraka ndani ya simba. Uhuni na ujanja umetumika kupiga pesa nyingi kwa kuleta wachezaji Mizigo.

1. Ayoub lakred
2. Kramo.
3. Onana.
4. Miquissone.

5. Phili.
6. (Kanute)

2. Brazil haijawahi kutoa makocha wazuri.
Nazani sven angeisaidia zaidi simba

Mengine tutaongea tukipata utulivu mkuu...
 
Sawa, mm nakuaminia hasa ukiamua kutoa koment ya ki professional
 
Kilichowaponza ni kiburi chenu, uwezo mdogo mnataka mpishane na Yanga. Mngeshikilia bomba kama kule Tanga. Tatizo mlikuwa mnaona wenzenu wanaofungwa mambwiga, wavuta bangi, mazuzu. Mpaka Msemeeeee.
Target ya pira objective ilikua watangulie kufunga then wapaki bus,gamondi aliwaangalia game zao 3 kwa upumbavu wa yule mbana pua wao akadai gamondi aende bunju akawaangalie mazoezini,so ile jana magoli ya kuwatangulia yakawafanya wafunguke hasa lile la half ya kwanza waliposawazisha wakajipa tamaa wanaweza kupishana na kina pacome 😆,kilichowakuta sasa 😂😂
 
Kilichowakuta hadi mda huu wanajadili historia.
 
Stamina na kasi ya Yanga ndio mchawi mkubwa kuliko kitu kingine chochote. Simba watafute kwanza kocha wa viungo mwenye hadhi ya kufundisha Simba haraka sana. Robertino naye hajielewi kabisa na sijui ni kwa nini mpaka sasa hakuna taarifa kwa umma kuwa kafukuzwa. Yaani Robertino ana kundi la wachezaji 30 na wengi wao wamesajiliwa msimu huu yeye akiwa kocha mkuu na "pre season" kapewa nje ya nchi halafu anahojiwa na media anasema eti kuumia kwa mchezaji mmoja Kibu eti ndio kulisababaishwa Simba kupigwa 5G. Je wangeaumia wachezaji watatu ina maana Simba angekufa 15? Hata aibu hana huyo kocha. Kwa kauli yake hiyo iwapo viongozi hawatafanya maamuzi magumu ya kumtimua nitaamini kweli Simba inaongozwa na watu wasiojua mpira.
 
Lakini tufike mahara tuachane na ushirikina kwenye michezo Bali tutafute wachezaji wazuri na wenyekujituma uwanjani. Yanga wanastahili maana magori yote sio ya bahati Bali yamesukwa Kwa ufundi wa wachezaji wazuri.
 
NDIO WEWE...tukupe maua yako kwekweli...
 
Kapombe kachoka, kasoma na mzuwanda wetu darasa moja, umri nao na mwili unachoka.
 
yote ulisema kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…