steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
mule mule kuwa makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umejiunga itakula kwako biashara ngumu hatari hasa kupata wateja rafiki yangu alikuwa kwenye hiyo forever yakamshinda na wanakuwaga na stori tamu kukuvutia u join mara utakua bilionea
Ni kweli ukikaza unapata hela za kutosha ila watu wengi ni wavivu ndio maana wanaona biashara ngumu.
Jamaa wenyewe wanasema ni biashara ya mtandao. Na wanaisifia kweli.
Jamaa wanahesabu faida kuliko hasara. Yaani biashara hiyo haina hasara. Wanakuuzia bidhaa harafu na wewe unawatembezea watu.
Pyramid scheme like
''Shilingi laki sita kwa mwezi ni pesa ambayo mtu anaweza kuongea na kujisifu mbele ya watu? Hii ni hela unayo takiwa kuingiza kwa siku moja bana acheni ujinga nyie''
Tanzania na watanzania wake........600,000 x 30 days = 18,000,000/=
Mi sijui kwa kweli....Wenye shahada wana hela kuliko nilivyokuwa nafikiria, hivi TGS D ni kiasi gani miaka hii.
Mi sijui kwa kweli....
wahitimu wengi wa shahada ya kwanza wanaazia TGS D usipokuwa na malipo mengine ni ngumu kurudi nyumbani na hata 450k, hivyo aliyekosa ajira kwa kutokuwa na ndugu kibopa akitengeneza 600k zinamtosha.
Bila kusahau mjasiriamali akisema kapata 600k keshatoa baadhi ya gharama za maisha kama usafiri chakula na malazi wakati mfanyakazi akisema anapata mshahara 450k hajakatwa nssf, tra, kodi ya nyumba ...
Serikali inabidi iwawezeshe vijana wajiajiri kwa tija zaidi kuliko kuajiriwa nguvu kazi inapotezwa bila sababu.
Utamshawishi nani sasa hivi kwa kampuni hiyo? Ukishatoa hiyo laki saba na nusu nawe utageuka kuwa MC mzuri tu wa kuwashawishi watu,usipopata watu basi ndo imekula kwako.Walifaidi wa mwanzo kwa sasa hivi ni majanga