Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Achana na hayo matapeli yameumiza sana watu ni sawa na DECI
 
Huu Uzi umejaa watu wajinga ambao wanaamini kupata mafanikio kwa njia nyepesi ,network marketing Ni system ambayo IPO wazi mno kufanikiwa au kufeli Ni we mwenyewe na sio system....to be honest I really feel sorry for u guys jinsi mnavyodanganyana hpa
 
.........wewe uko upande gani !?........wa kufanikiwa au kufeli ?.......au huna uzoefu wowote !?
 
Huu Uzi umejaa watu wajinga ambao wanaamini kupata mafanikio kwa njia nyepesi ,network marketing Ni system ambayo IPO wazi mno kufanikiwa au kufeli Ni we mwenyewe na sio system....to be honest I really feel sorry for u guys jinsi mnavyodanganyana hpa

mkuu nipe ushauri wako!!! mimi sijaponda kitu.
 
mkuu ushauri wangu kwako Ni kutafuta information sahihi khs hii biashara then ndyo utafanya uamuzi!! Usiwasikilize watu wenye negative thought waliopo humu
 
Ahahah pumbafu zao mi ningesimama na kuwauliza maswalj ya kipuuzi then ningewashushua na kuondoka
 
siwezi kukulaum kwa chochote coz unalack information cku ukipata information sahihi hutokaa uiponde hii biashara
 
mkuu ushauri wangu kwako Ni kutafuta information sahihi khs hii biashara then ndyo utafanya uamuzi!! Usiwasikilize watu wenye negative thought waliopo humu

.........information sahihi inapatikana wapi !?..........unakuwa tatizo badala ya ufumbuzi !
 
siwezi kukulaum kwa chochote coz unalack information cku ukipata information sahihi hutokaa uiponde hii biashara

wewe hiyo information sahihi mbona hutoi hapa ili uelimishe wa !?...........una kwepa kwepa tuu !
Kama una guts jenga hoja na utetee, hiyo ndo haswa maana ya JF 'house of great thinkers !
 
mi binafsi niko willing kukupa information sahihi km hutijali,so far Kuna Uzi nauandaa ntauweka humu so punguza munkari
 
Wote aho nimatapeli wamaumiza watu na kupoteza muda iwe GNLD,LIFE FOREVER WOTE WAONGO SANA.
 
Mie ninachokiona hapa ni ile kitu ya mwenye nacho ataongezewa. Hisia ninazozisikia hapa ni wazi watu waliotumia chao kidogo kwa matumaini ya kurudisha kipato chap chap. Naona pia biashara hii unahitaji umakini fulani wa kujua ushughulike na products gani na kwa watu gani..

Bado niko darasani...
 
Huu Uzi umejaa watu wajinga ambao wanaamini kupata mafanikio kwa njia nyepesi ,network marketing Ni system ambayo IPO wazi mno kufanikiwa au kufeli Ni we mwenyewe na sio system....to be honest I really feel sorry for u guys jinsi mnavyodanganyana hpa

Ahahahaaaa...
Nilikuwa napita ila umefanya niweke hoi...
Yaani hata wewe kwenye kundi hilo la kufeli umo, maana unaongelea biashara ya network, sasa basi inategemea hiyo business inawalenga binadamu wa aina gani…lol.
Kwa biashara hii ya hawa jamaa haiw3zi kuwakomboa watu bana (kwanza wengi wao tunawafahamu ni magumashi kwenye hiyo kitu na wengi wanalia hivi sasa) kwani bidhaa zao mfano dawa ya meno bei ya chini tshs 10000/= 80/120gm, sasa ni watz wangapi utawashawishi kujiunga kwa 750000 upewe mzigo mchanganyiko wa pesa hiyo kisha ukawauzie dawa hiyo?
Tena kwa bajeti ya mtu mwenye familia dawa 80//120gm inatumika kwa 2or3 weeks kabla ya mwisho wa mwezi, chakachuo akili ongeza na yako..🙂!!
 
Mkuu nikupe ushauri wa bure! Acha ulimbukeni! Ukiamua kutumia kiswahili andika kiswahili na ukiamua kutumia kiingereza andika kiingereza. Hii changanya uliyofanya inaharibu ladha nzima ya ulichoandika na inaonyesha ulimbukeni wa hali ya juu!

hapo amesoma kwa ras simba... akienda british council itakuaje?.
 
Back
Top Bottom