Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?


Wewe kama hujui kitu ni vyema kunyamaza hakuna mshahara wa TGS D 349 270. Unapunguza mishahara ya watu ili uwavutie vijana wajiunge!!!!!!!!?????
 
Last edited by a moderator:

hawa.cjui GNLD..FLD..ORGANO member weng cjui wamelogwa kule kwetu kilimanjaro tunawaita vishoia blablaa ming mara huyu kaacha bot.huyu tra huyu vodacom kuna kipind na.mm rafki.angu alitaka kunidumbukiza kwe huu mkumbo
 
Last edited by a moderator:
acha dharau.....kwa wengine LAKI SITA kwa mwezi ni nyingi....wewe unapata kwa siku ndio mgawanyo wa maisha....na dharau zako hujui tofauti ya LOOSER na LOSER........

True kabisa......anadharau sana kipato cha watu, i support u
 
Wale walioanza mapema na kama wateja amepata wa kutosha kwa kweli hela ya kuishi tunapata, Ili tu maintain kwenye business inabidi tufanye marketing sana, kwa hapa hela huishia kwenye marketing, kukodi ukumbi wa mkutano kusafiri mikoani na nchi za jirani Ili update wateja, kujiweka mtanashati pia Ili mteja akukubali ni gharama pia. Siku hizi products zipo nyingi sana Forever, GNLD, O.frem, zipo za wachina kama 4 tofauti. Wateja sikuhizi ni wachache sana ila wauzaji tupo wengi sana. Kwa sasa fanyeni kama kazi ya ziada siyo ya kutegemea, kamwe usiache kazi yako nyingine kwa kutegemea hii, Kuna mwezi biashara itanakuwa ngumu sana,
 
hawa.cjui GNLD..FLD..ORGANO member weng cjui wamelogwa kule kwetu kilimanjaro tunawaita vishoia blablaa ming mara huyu kaacha bot.huyu tra huyu vodacom kuna kipind na.mm rafki.angu alitaka kunidumbukiza kwe huu mkumbo

mimi gnld kidogo waniingize mkenge.
 
Umesema ukweli kiongozi,binafsi ukitaka ugomvi na mimi niambie kuhusu huu upumbavu,hili ni janga na hawa watu nawafaham sana ni zaidi ya pyramid wanachokifanya.Wengi waliojiunga ni wachovu na wana maumivu mengi.
 
hawa.cjui gnld..fld..organo member weng cjui wamelogwa kule kwetu kilimanjaro tunawaita vishoia blablaa ming mara huyu kaacha bot.huyu tra huyu vodacom kuna kipind na.mm rafki.angu alitaka kunidumbukiza kwe huu mkumbo
alafu wote huwa wanakuja na ushuhuda kwamba wameacha au wanafikiria kuacha kazi tra
 
Kuna haka kamchezo kengine,nadhani kanahusisha kujiunga na zantel halafu bla blaa blaaa. Nilipigiwa simu jana na dada moja wala sikumuelewa vizuri, mwenye ujuzi atufahamishe hapa pia
Jana nimepigiwa na watu wa voda kwa no zao kabisaa za huduma kwa wateja,ameuliza maswali mengi nikamjibu lakini alipouliza namba zangu za siri nikamjibu; K....... kubwa weee!! akaingia mitini.
 
mimi yashawah nikuta..dada mmoja best sana alinishaur ila nikamgomea lakin akazid kunishawishi sana..mm nlipima nikaona hapa maslah hakuna wote wez tuu..basi bana ili nisimvunje moyo nikamwambia pesa sina..japo nilikuwa nayo..akanambia nitakuongezea ulipopungukiwa..nikamwambia kat ya 360000 ninayo 170000 tu..akaniongezea..kiukweli bidhaa nilizouza nilipata 125000 tu tena bado zikawa zimeuzika kwa hasara kwasababu bidhaa bei zao za chin sana ni 10000 tena hazina maana...yule dada akawa anataka hela yake..nilichomwambia ni kwamba....SINA HATA MIA YA KUKUPA AIDHA CHUKUA BIDHAA ZAKO UZA MWENYEWE NA HUO UPUMBAFU WAKO KAFANYIE HUKOHUKO...had leo sina hamu nao.
 
Hizi Biashara Kichaa zina sifa kuu 2.


  1. Hukusanya watu wenye tamaa/shida/uwezo mdogo wa akili
  2. Huvuma kwenye nchi zenye kipato cha chini.


Hadithi za kuwa makao makuu yetu yako marekani/ulaya blah blah blah ni njia ya kukusanya akili kwa watu wa kundi namba moja hapo juu

Sababu ya kuvuma na kushamiri kwenye nchi masikini, unaweza kufananisha na kwa nini Vibanda vya vocha vimejaa TZ, lakini huwezi kuvikuta Developed countries, Maisha magumu. Mtu anaamka asubuhi hajui atakula nini, wala mwezi utaishaje. Hivyo akija mtu na hadithi za utakuwa milionea, ubongo unawekwa kapuni, halafu tamaa inachukua usukani.Sasa nchi zenye kipato cha juu ni kazi sana kuuweka ubongo wa mtu kapuni kwa kuwa at any given time watu wako comfortable na maisha yao, chakula ni basic need kama hewa,shida za hapa na pale hazipo na mwisho wa mwezi unafikika bila mizinga ya kipuuzi. Hivyo ili uanze hizi hadithi za GNLD and the likes, inabidi utumie energy za ukweli.Ndio maana pamoja na kuwa haya ma-ponzi scheme yameanzia huku, yanashamiri Nchi masikini.

Wale mtakaoniletea picha za majengo au ofisi za GNLD,Forever Living etc huku ughaibuni, naomba msipoteze nguvu zenu kwani huku siko wateja wakuu walipo, ni setup tu inafanyika kuwaokota maskini wa nchi za dunia ya 3.

Am sure once in a while watakuwa wanachagua wale top earners kutoka nchi maskini kuwatembeza ughaibuni kwenye ofisi zao, huku wakiwashauri kupiga picha za kutosha kuwaringishia maskini wenzao ili wajiunge kwa kasi. It's how deception works in Pyramid Schemes, without more fools joining, felas at the top will feel the hit and the whole thing collapses.

Read about Ponzi Schemes, and a few notable Schemers like Ben Maddof to get an idea of how it all goes. Successful schemes take decades to unfold, and when they do,they leave everyone in their wake looking for the next grave to bury themselves alive.

Ila kwa kuwa nchi yangu naifahamu, siwezi kuwakatisha tamaa,endeleeni kucheza bahati nasibu ili siku moja muwe mamilionea. Hizo nguvu/ubunifu/usumbufu mnazozitumia kwenye kudalalisha hizo bidhaa za hao watu mngezitumia kwenye kazi zenu mngefika mbali zaidi , na mngesaidia kujikwamua nyie na jamii inayowazunguka kwenye umaskini.
 
Mimi swali langu ni hizo dawa zinatibu watu kweli au ndiyo tunadanganywa tu.
 
Mimi naamini siku zote kuwa kibaya chajitembeza na chema chajiuza. Viwekwe tu sokoni km bidhaa nyingine km kweli wana hakika na bidhaa zao.
 
Mimi hawajawai kunila pesa yangu ila wameshawai kunipotezea muda wangu zaidi ya mara tatu nikidhani naenda kwenye mkutano wa maana kumbe utaahira mtupu ndo umejaa kwenye hiyo mikutano...kwakweli inabidi wajipange sana
Hawa jamaa bwana nilikua natoka mzalendo pub kwenye kikao cha harusi jamaa mmoja akanikaribisha eti njoo kwenye ulaji nikajua ni ulaji wa maana kumbe ni foreva living huyo kiongozi wao eti ooh nilikua nimepanga mbagala sasa hivi nalipa nyumba mikocheni millioni sita kwamwaka,nikajisemea moyoni haya majitu majinga kweli mimi nilijua limejenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…