Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Naona huyo mama yako alikuwa yupo level za juu hawa wa chini naona wanakuwa machinga wa hayo makampuni na hawafaidiki naona kazi yao ni kualika watu tu
 
Hao jamaa hawafai
Binafsi walinirubuni nikapoteza laki 3 yangu naikumbuka sana hata hiyo supergrow ilinibidi nipigie miti yangu nyingine nikaigawa bure!
 
Two things in common
1.) Ina promise pesa bila kuzalisha mali/ huduma.
2.) Ili mtu apate ni lazima mwingine apoteze kiwango sawia?
Yah! Binafsi mimi pia ni muumini wa pesa zinazopatikana kwa uzalishaji mali na sijahiwa kuwabali hawa jamaa
Ila nilikuwa nasema forex na AIM global,forever living,qnet n.k wanatofauti kubwa sana ya kimfumo forex hakuna kuinvite yani kama unakufa unakufa mwenyewe tu ila hao wengine lazma uinvite watu walipe hela na wewe upate kamisheni yako
 
Kitu kingine bidhaa zao ni ghal sana kuweza kuziuza. Dawa ya meno ina 17000 nan utamuuzia kama hutabak kutumia wewe tu
 
Kitu kingine bidhaa zao ni ghal sana kuweza kuziuza. Dawa ya meno ina 17000 nan utamuuzia kama hutabak kutumia wewe tu
 
Hakuna uyofauti wa Aina yeyote ile,ni biashara za Aina moja hizi.nazijua sana na nimeshashiriki sana kwenye misemina yao
kwahiyo kutokana na semina ulizoenda unataka kusema forex na hao nertwork marketing kama AIM,GNDL na forever living wanafanana
 
Naona huyo mama yako alikuwa yupo level za juu hawa wa chini naona wanakuwa machinga wa hayo makampuni na hawafaidiki naona kazi yao ni kualika watu tu
nadhani pia haya makampuni yamejibadilisha now ni kma huduma za kawaida na wale wa asili hawapo
 
basi prepare huko uliko ....
 
nadhani pia haya makampuni yamejibadilisha now ni kma huduma za kawaida na wale wa asili hawapo
labda lakini mimi naona mfumo wao ndo tatizo yaani wao wanataka uwaingize watu kadhaa ndo upige pesa
sasa hii inapelekea watu kuwa waongo ili wapate watu wa kuwaingiza na kujaribu kurudisha pesa zao na hao watu wakijoin na kushindwa kuinvite watu wengine wanaishia kupoteza pesa na utapeli ndo unapoanzia hapo maana utakuwa na product zao labda za laki sita ambazo huwezi kuuza unaishia kuzitumia mwenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…