Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mteja mfalme is over rated
 
Fanya biashara acha kuwapiga majungu wateja zako waache na maisha yao
 
Sijawahi kugombana na mteja direct ila kimoyoni nakua nisha mcurse sana
wapotezee tu wateja wa hivyo usijali sana kuhusu makwazo yao, wape huduma stahiki iliyo ndani ya uwezo na utaratibu wako.

Kuna watu kutoa hela hata kwa jambo la msingi huwa inawauma sana ndio maana wengine hutokwa na maneno makali.
 
mpe nafasi aongee na kutukana mpaka atosheke, na bilashaka yoyote utakua umempa relief na umemponya vitu fulani vilivyo kua vimemjaa moyoni, japo anaweza kua amekupotezea muda wako lakini pia kuna faida na Baraka za Mungu utazichuma pia...

Muhimu ni kuzingati kukeep na kumaintain standards, vigezo na masharti vya kazi yako na mteja anatimiza bila mbambamba 🐒
 
Mimi nawaelekeza kwa vijana wamalizane nao aiseee!!! 🤣🤣🤣🤣

Kuna mmoja alinichana siku hizi husikilizi wateja unajali pesa tyuu na kujipost mwenyewe status, hilo lilinitongoza nikalikataa likaona liseme hivo..!!

Sasa usiombe ukutane na wamama wa kikongo woiiiih utachora chini 🤣🤣🤣🤣
Wale watu ni wateja ila ni wasumbufu sijaona
 
wapotezee tu wateja wa hivyo usijali sana kuhusu makwazo yao, wape huduma stahiki iliyo ndani ya uwezo na utaratibu wako.

Kuna watu kutoa hela hata kwa jambo la msingi huwa inawauma sana ndio maana wengine hutokwa na maneno makali.
Unajua nini yule jamaa nimemuwazia mke wake
Mke wake atakua na taabu sana .
Yaani anaonekana kwa maneno ya sim tu ana dharau sana
 
Nakuelewa boss
Nina boda wa kazi ya delivery pia mteja aki opt bolt narequest analipia kwanza.
The thing is FREE DELIVERY
yaan mteja hakupenda huduma ya kulipia nauli
Yeye ameona wapi bidhaa zako? Huko alikoona uandike delivery ni juu ya gharama za mteja ili akitaka bidhaa ajue hivyo.

Huwezi kuweka gharama sahihi siku zote, ukiweka elfu kumi kumbe mteja anakaa bagamoyo au kibiti itakuwaje.
 
Mteja mfalme is over rated
Wallah tena, alikua ananiboa, muda wa kutoa oda mpole fata hela sasa maneno yanamtoka mpemba yule na bichwa lake flat screen😏😏😏....aendelee kuja tu kwa kujificha hivyo hivyo.
 
Napenda sana pesa
Ila sipendi mtu anitukane/anidharau
 
Yeye ameona wapi bidhaa zako? Huko alikoona uandike delivery ni juu ya gharama za mteja ili akitaka bidhaa ajue hivyo.

Huwezi kuweka gharama sahihi siku zote, ukiweka elfu kumi kumbe mteja anakaa bagamoyo au kibiti itakuwaje.
Sahihi mkuu
Umenipa point
Kwenye kila tangazo nitaweka garama za nauli ni juu ya mteja
 
Wateja wa kibongo ukitaka wasikuletee mapozi wauzie bei za Kitonga, Hapo hata uwape huduma mbovu watajazana tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu em sema kweli? Sitaki fix mie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…