Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Mkuu huo wimbo haupo youtube?"Kilio hiki kiwafikie Emmakulaya,Manka Mushi,Chesco Mzee wa Matunda na John Zenze"--Muhumini Mwin Juma.
Mkuu huo wimbo haupo youtube?"Kilio hiki kiwafikie Emmakulaya,Manka Mushi,Chesco Mzee wa Matunda na John Zenze"--Muhumini Mwin Juma.
Tumetoka mbali sana. Sema ndo hivyo maisha hayarudi nyumaYap yap Koma koma Sela sela nukta nukta niambiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Enzi za call box za TTCL,enzi za Tritel na mwanzo wa BUZZ,Long time sanaHuyo Limonga na chidi chidi chitenda WaPo tegeta kule Dar hao wasambaa,, mmoja yupo kwenye maroli yetu ya mchanga ni fundi, ,,,na Rafiki yao mzee Litumbi wa mtaa wa msichoke, ,, kipindi iko 1997 Simu za kiganjani hamna kivile zaidi ya TTCL tu
Mara nyingi analipanda jukwaaFikiri Dario Gakara huyu utamsikia VOA swahili
Umenikumbusha enzi za RTDUna umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
Ila mkuu ilikuwa raha,,uhu wingi wa hizi simu za mkononi sasaivi zimesababisha michepuko kuwa mingi nakugongewa tu,,,,,nakumbuka mwaka 1998 laini yangu ya Voda nilinunua elfu kumi na Simu yangu mpya Siemens 35 ya laki moja,,,,,Enzi za call box za TTCL,enzi za Tritel na mwanzo wa BUZZ,Long time sana
Ila mkuu ilikuwa raha,,uhu wingi wa hizi simu za mkononi sasaivi zimesababisha michepuko kuwa mingi nakugongewa tu,,,,,nakumbuka mwaka 1998 laini yangu ya Voda nilinunua elfu kumi na Simu yangu mpya Siemens 35 ya laki moja,,,,,
Hahahaa daah kweli umri umeenda sana yani nikikumbuka hizi nyakati miaka ya 1999 kurudi nyuma....salam RTDUna umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahaa...utasikia ewe trump kwanini unawatesa waislmu??