huna tofauti na mmSikumbuki mara ya mwisho iilikuwa lini kusikiliza redio
Jumanne sebarua tingishaHabari wakuu, zamani ilikuwa kutuma salaam redioni ni mtindo wa kijanja sana iwe kupitia Kadi au Njia ya simu ila kwa sasa naona mtindo wa Kadi haupo tena na kupitia simu kama umepitwa na wakati na hii ni kutokana na kuingia kwa mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram na Facebook.
Je wewe unawakaumbuka watuma salaamu gani..?
mimi nakumbuka wafuatao kwa redio mbalimbali
Manka Mushi
Filbert Kiyauki
Top Manyota
Lawena Nsonda
B 52
David beckham Onana
Mponeja wa Mponeja
Mwilio Bale
Mwl Kapingili
Bakari Makabali
Pido G Pido Guy
XX Mzozo
N a wengine wengi
Wajadi Fundi Wajadi binadamu mashaka at RTD enzi hzoHabari wakuu, zamani ilikuwa kutuma salaam redioni ni mtindo wa kijanja sana iwe kupitia Kadi au Njia ya simu ila kwa sasa naona mtindo wa Kadi haupo tena na kupitia simu kama umepitwa na wakati na hii ni kutokana na kuingia kwa mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram na Facebook.
Je wewe unawakaumbuka watuma salaamu gani..?
mimi nakumbuka wafuatao kwa redio mbalimbali
Manka Mushi
Filbert Kiyauki
Top Manyota
Lawena Nsonda
B 52
David beckham Onana
Mponeja wa Mponeja
Mwilio Bale
Mwl Kapingili
Bakari Makabali
Pido G Pido Guy
XX Mzozo
N a wengine wengi
ziko zinasafishwa maana nilikuwa na negative tuWeka picha zao ndugu..