Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Baba Dullah 1 Abdallah mpanjinji wa ndagoni mafia,muboss Frank malecela,David bekham onana,Kuambiana.s.kuambiana,Mohamed Kiyaiyai,Limonga .j.Limonga,Maalim Litumbi,Ng'umbi wa Ng'umbi,na Musa Kaweya.
Mi nampata Limonga Justin wa Limonga! Miaka ya tisini mwishoni alikuwa anavuma sana radio one!
 
Moses shotoo omunyololo!
Francis kadenge umwana wa lea!
 
Du kishoka ukipenda unaweza kuniita toto la kinyamwezi...
Radio free africa
Mwaka 1998/99
 
Kuna mwngne nakumbka alikua anaitwa Riziki minde
Aisee kitambo....cjui wako wapi hawa watu cku hiz.
 
Back
Top Bottom