Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

"Wanachama woote wa tamu tamu salamu club pamoja na wewe apo studio dada Janet Sostenes Mwenda.

Ujumbe tuzidi kukumbukana kwa njia ya salamu"
 
Juma michael mwana harakati mkazi wa tabora, riziki minde wa kwata unity karia koo.
Bendera chuma mlingoti chuma 😀😀
 
Wakuu hivi hawa wanao tuma sms au kupiga simu kwenye stations mbali mbali za Radio hapa tz huwa wanapataje line?I mean kwenye Radio kubwa kubwa hapa tz.Mf.BBC,DOUTCH WELLE na vipindi vingine vya Radio,,kwa mfano watu maarufu nikama kina WELA NSONDA wa pale Arusha MWL.KENNEDY MPEMBA huyu wapale kagongwa kahama huwa hakosi doutch welle kutajwa ujumbe wake au kupiga simu kabisa,,wengene pia kina KING MAJUTO huyu niwapale GEITA pia na yule wa mbeya nimemsahau jina,,hawa watu huwa wanapataje line au kusomwa jumbe zao kiwepesi???
nawasilisha.
 
Kuna mtu mmoja anaitwa Akwino Msofe uyu jamaa nimeanza kumuona kwenye mitandao na kumsikia kwenye radio mda mrefu sana tokea enzi za mygama
 
Hili swali hata Mimi nimekuwa nikijiuliza bila majibu na ni haohao ambao nimekuwa nikiwasikia mara kwa mara kama mlivyo wataja.
 
Afu unaskia mtu anasikika akitajwa redio Zaid ya moja at once
 
Wakuu hivi hawa wanao tuma sms au kupiga simu kwenye stations mbali mbali za Radio hapa tz huwa wanapataje line?I mean kwenye Radio kubwa kubwa hapa tz.Mf.BBC,DOUTCH WELLE na vipindi vingine vya Radio,,kwa mfano watu maarufu nikama kina WELA NSONDA wa pale Arusha MWL.KENNEDY MPEMBA huyu wapale kagongwa kahama huwa hakosi doutch welle kutajwa ujumbe wake au kupiga simu kabisa,,wengene pia kina KING MAJUTO huyu niwapale GEITA pia na yule wa mbeya nimemsahau jina,,hawa watu huwa wanapataje line au kusomwa jumbe zao kiwepesi???
nawasilisha.
Umemsahau ISAYA NSAMBO a.k.a mpenda amani.
 
Back
Top Bottom