kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
dah! Umenikumbusha miaka ya nyuma hadi walikua wanatengeneza MA group Kama ya what's App kwa sasa. Na walikua wakitembeleana. Watu maarufu kwa wakati huo wa miaka ya 2004, ni, chesco Mzee wa matunda kutoka africasana,Wakuu hivi hawa wanao tuma sms au kupiga simu kwenye stations mbali mbali za Radio hapa tz huwa wanapataje line?I mean kwenye Radio kubwa kubwa hapa tz.Mf.BBC,DOUTCH WELLE na vipindi vingine vya Radio,,kwa mfano watu maarufu nikama kina WELA NSONDA wa pale Arusha MWL.KENNEDY MPEMBA huyu wapale kagongwa kahama huwa hakosi doutch welle kutajwa ujumbe wake au kupiga simu kabisa,,wengene pia kina KING MAJUTO huyu niwapale GEITA pia na yule wa mbeya nimemsahau jina,,hawa watu huwa wanapataje line au kusomwa jumbe zao kiwepesi???
nawasilisha.
John zeze
Imma kulaya.
wajadi fundi wajadi.
Richard Ndasa.
dogo mambo wa kimanzichana.
Patricia kabali kutoka bukavu music center kurasini.
Manka mush.
Mudy Muzungu.
na wengine kibao, hao jamaa kila radio station utawasikia, kama ilivyukua Leo Asiatu Dambaya. inaleta raha kwakweli.