tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,955
Huyu alikuwa anaitikia Naaaaaaaaaam had I mtu unasahau km kuna mtu kaitikaMwilooooo Baleeeee
Huyu alikuwa anaitikia Naaaaaaaaaam had I mtu unasahau km kuna mtu kaitikaMwilooooo Baleeeee
bila kumsahau Daudi wa kotaKuna pendo engine ya jiji wa mbeya
Josee roma
Kuna yule wa kitaa cha kwa buruda
Brenda tesha
Ummy kitwana huyu kaajiliwa na clouds
Kuna yule nani sijui haule nae kaajiliwa na clouds
Aisee
Wa Mbeya kuna anayeitwa "Lawena Nsonda" a.k.a Baba mzazi wa Makongolosi Chunya.Wakuu hivi hawa wanao tuma sms au kupiga simu kwenye stations mbali mbali za Radio hapa tz huwa wanapataje line?I mean kwenye Radio kubwa kubwa hapa tz.Mf.BBC,DOUTCH WELLE na vipindi vingine vya Radio,,kwa mfano watu maarufu nikama kina WELA NSONDA wa pale Arusha MWL.KENNEDY MPEMBA huyu wapale kagongwa kahama huwa hakosi doutch welle kutajwa ujumbe wake au kupiga simu kabisa,,wengene pia kina KING MAJUTO huyu niwapale GEITA pia na yule wa mbeya nimemsahau jina,,hawa watu huwa wanapataje line au kusomwa jumbe zao kiwepesi???
nawasilisha.
Aisee kuna huyu jamaa anaitwa:Wakuu hivi hawa wanao tuma sms au kupiga simu kwenye stations mbali mbali za Radio hapa tz huwa wanapataje line?I mean kwenye Radio kubwa kubwa hapa tz.Mf.BBC,DOUTCH WELLE na vipindi vingine vya Radio,,kwa mfano watu maarufu nikama kina WELA NSONDA wa pale Arusha MWL.KENNEDY MPEMBA huyu wapale kagongwa kahama huwa hakosi doutch welle kutajwa ujumbe wake au kupiga simu kabisa,,wengene pia kina KING MAJUTO huyu niwapale GEITA pia na yule wa mbeya nimemsahau jina,,hawa watu huwa wanapataje line au kusomwa jumbe zao kiwepesi???
nawasilisha.
Ongezea na JAFARI KOPO wa moshi tzWakuu hivi hawa wanao tuma sms au kupiga simu kwenye stations mbali mbali za Radio hapa tz huwa wanapataje line?I mean kwenye Radio kubwa kubwa hapa tz.Mf.BBC,DOUTCH WELLE na vipindi vingine vya Radio,,kwa mfano watu maarufu nikama kina WELA NSONDA wa pale Arusha MWL.KENNEDY MPEMBA huyu wapale kagongwa kahama huwa hakosi doutch welle kutajwa ujumbe wake au kupiga simu kabisa,,wengene pia kina KING MAJUTO huyu niwapale GEITA pia na yule wa mbeya nimemsahau jina,,hawa watu huwa wanapataje line au kusomwa jumbe zao kiwepesi???
nawasilisha.