Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Kuna mmoja anajiita ronaldo haule wa songea ,namsikiaga sana kwenye DW
 
Kuna wengine wanatuma salamu magazetini
 
Wakuu hivi hawa wanao tuma sms au kupiga simu kwenye stations mbali mbali za Radio hapa tz huwa wanapataje line?I mean kwenye Radio kubwa kubwa hapa tz.Mf.BBC,DOUTCH WELLE na vipindi vingine vya Radio,,kwa mfano watu maarufu nikama kina WELA NSONDA wa pale Arusha MWL.KENNEDY MPEMBA huyu wapale kagongwa kahama huwa hakosi doutch wesille kutajwa ujumbe wake au kupiga simu kabisa,,wengene pia kina KING MAJUTO huyu niwapaley GEITA pia na yule wa mbeya nimemsahau jina,,hawa watu huwa wanapataje line au kusomwa jumbe zao kiwepesi???
nawasilisha.
ukitembelea page ya DW fb ..huwa wana update namba yao ya simu
 
Ila kwa metro FM ya mwanza namba zao wanazotoa huwa zipo active ukituma msg wanaisoma km kawaida na kuna kipindi cha kutafuta marafiki/wachumba nishakitumia sana na nishawahi kupata mademu wawili nikawagegeda, mmoja alikuwa Wa geita nyang'wale, alikuwa mtamu sana usiombe
hahaha ...umenikumbusha " nilikuwaga na jamaa yangu " anatoka na mademu " waliokuwa wanajitangaza kwenye magazeti kuwa wanatafuta wachumba ...dunia hii daahh
 
Kuna yule wa zamani alikuwa igoma Mwanza shabiki pendwa wa RFA anaitwa mwili obaleeeee

Kuna baba mzazi baba mzee sonda


Ila anaeniacha hoi ni huyu heri dereva wa bajaji hivi huwa anaendesha bajaji yake akiwa anapiga simu au
 
Hivi binadamu mashaka yupo?
Kuna huyu mwingine alikuwa wa Iringa sijui nani yule aisee.
Kuna muda nilianza kumsikia brother DW naona aliacha.
 
Kuna yule wa zamani alikuwa igoma Mwanza shabiki pendwa wa RFA anaitwa mwili obaleeeee

Kuna baba mzazi baba mzee sonda


Ila anaeniacha hoi ni huyu heri dereva wa bajaji hivi huwa anaendesha bajaji yake akiwa anapiga simu au
hahahaha hivi huyo heri dereva bajaji anatokea wap pia
 
chuma mlingoti chuma
tamtam salam club
dah ni shemeji yangu ndio ilikuwa zake ya ile jion alasiri hivi katega lini walikuwa na mpaka na kadi za salamu na vyama/makundi yan wanatumiana salamu na kutaniana.....
 
Kuna pendo engine ya jiji wa mbeya
Josee roma
Kuna yule wa kitaa cha kwa buruda
Brenda tesha
Ummy kitwana huyu kaajiliwa na clouds
Kuna yule nani sijui haule nae kaajiliwa na clouds


Aisee
 
miaka ya zamani kina kandabongoman mkongoman, aunt flora john, wajad Fundi Jamaa wengine walikua wanatokea mahuta shimoni newala huko!!
 
hahaha wajad fund wajad binaadam mashaka shabiki kindaki ndaki wa mabingwa wa kihistoria
 
Back
Top Bottom