Wajadi fundi wajadi "binadamu mashaka!" Mwiliobale mwiliobale...Naaaaaaaaaam!![emoji13]Ebana,,namba 2 uyo alikuwa kutoka michenzan znz, hahaha Wajadi fundi wajadi , dah miaka ya mbele tutakuja kukumbushana akinaFaiza fox,Malaria sugu, Ritz, Mzito Kabwela, mzizi mkavu, Mpole sana! Jf ni Zaid ya Juke box!
Amos Nyang'uyeHao akina Manka Mushi na Hussein Makabuleta wamekuja kipindi hiki cha salam kwa njia ya simu...
Mi nazungumzia enzi zileee za post kadi kipindi cha Jambo, Mchana Mwema, Salam za mchana, Shambani, na pole kwa kazi...
Na "Mchicha mboga ya haraka.."Una umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
furahi sana leo cjaionaga hii post,Huyu Wajadi Fundi Wajadi N=nimemsikia sana Radio TanzaniaEbana,,namba 2 uyo alikuwa kutoka michenzan znz, hahaha Wajadi fundi wajadi , dah miaka ya mbele tutakuja kukumbushana akinaFaiza fox,Malaria sugu, Ritz, Mzito Kabwela, mzizi mkavu, Mpole sana! Jf ni Zaid ya Juke box!
Huyu limonga sasa hivi mtangazaji radio uhuruWatangazaji nao walikuwa wanapamba "Limoooooonga Jaaaastin Limooonga"
Hapo unamkuta goligota magabe wa ggu,na mpenda amani wa mlandizi....yeye anachosema trump akae na mwenzie wa iran wamalizeKulikuwa kuna Jumanne Sebarua Tingisha, Mahoo John Nguma, Zakaria Ndemfoo....
Alafu kuna wale wanaotumaga maoni BBC Swahili...unakuta eti Mtu anampa ushauri Bashar Al Assad...sasa huwa najiuliza ujumbe huwa unafikishwa kwa walengwa?
RFAMuhili OBARE (Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam....!!!)
Hahahahahaaaaaa.....Hapo unamkuta goligota magabe wa ggu,na mpenda amani wa mlandizi....yeye anachosema trump akae na mwenzie wa iran wamalize
ingalikua heri ukakatizaKhe?
Kwani humu n redion?
yesWajadi Fundi, Chivalavala Chivalavala