Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani,
Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula,
Mara dagaa sili
Ohh maji nakunywa ya dukani tu.
Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe anaenda kupiga zake msosi kwa mama ntilie.
Hii inakaaje wadau?