Kuna mmoja kama ana miaka mitano, tupo sebuleni baba yake kaenda chumbani , mama yake yupo jikoni, dogo akaniambia 'uncle baba anataka kuuza nyumba, tunaondoka ttunahamia kuleee mbali' , baba yake ambae ni rafiki yangu alipotoka chumbani alimuangalia mwanae kwa jicho kali sana, nikasema leo kazi ipo, dogo ameachia secret documents... 😂 😂Umenikumbusha mkuu sehemu moja nilikuwa mgeni, kwenye kupakua nyama kuna katoto kakaropoka "we usipakue nyama nyingi utammalizia babu!"
Nilipata tabu sana.
Mgeni gani anajua vichocho vya mamantilie vya mtaa. huyo sio mgeni, aondoke tu....Naunga mkono hoja ila yote kwa yote hii kula nje na ulipofikia kwa mwenyeji wako
Duh inaleta PICHA MBAYA, inafika mchana dagaa zimepikwa hapo, mgeni wako anakuaga anaend sehem ila unajua anaenda kupakia msosi nje na kwako.
Wewe na mgeni wote hamtajihisi vizuri .
Haya ma junia sio poa mkuu, ndio maana sisi tukiwa wadogo tulikua tunalambwa viboko vibaya sana , mgeni akija mnafutika haraka sanaKuna mmoja kama ana miaka mitano, tupo sebuleni baba yake kaenda chumbani , mama yake yupo jikoni, dogo akaniambia 'uncle baba anataka kuuza nyumba, tunaondoka ttunahamia kuleee mbali' , baba yake ambae ni rafiki yangu alipotoka chumbani alimuangalia mwanae kwa jicho kali sana, nikasema leo kazi ipo, dogo ameachia secret documents... 😂 😂
Baada ya miezi kadhaa jamaa nilikutana nae, akaanzisha story za viwanja na nyumba, akaniuliza 'hivi mfano pale kwangu japo siuzi akitokea mtu anataka kununua thamani yake unakadiriaje?'
Baada ya miezi kadhaa jamaa aliuza na kuhama mkoa mwingine... nikajisemea 'kumbe dogo alinipa siri..'
Watoto usicheze nao aisee, ndio maana nyumba zingine mgeni akija, watoto wanaenda kucheza mbali kama mdau mmoja hapo alivyosema...
Kwa umri huu nikija kwako nimekuja kutembea sijaja kukupa karaha.Kwangu nazingatia usafi
Kuhusu uchaguzi wa msosi njoo na hela yako , utaandaliwa vizuri mkuu.
Sasa kama mtu hana hela anawezaje kuwa na masharti mengi?Hawana hela mkuu
Wamatumbi wengi kwenda hotel ni kupoteza hela
Umeshawahi kula ugali wa nazi?Ugali bila mboga haiwezekani. Hauna ladha yoyote. Tasteless kuna mzungu alisema kwanini hamuweki chumvi au hata sukari 😀😀😀
Unamchekea huyo mgeni!!Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani,
Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula,
Mara dagaa sili
Ohh maji nakunywa ya dukani tu.
Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe anaenda kupiga zake msosi kwa mama ntilie.
Hii inakaaje wadau?
Ni watu simple na wawazi sana ,sio jukumu langu wala aibu kukuambia mimi sitakula huo wali wako kama vipi shemeji atoe ugali ni simple na tunaelewana sanaNa mkikutana wanywaji wote ugeni ni rahisi sana kupotea watu wanotumia pombe huwa hawana katabia yaku judge sana
Kwanini asitumie hiyo pesa anayoenda kula kwa mamantilie kununua chakula anachotaka hapo home?Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani,
Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula,
Mara dagaa sili
Ohh maji nakunywa ya dukani tu.
Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe anaenda kupiga zake msosi kwa mama ntilie.
Hii inakaaje wadau?
Huu unapatikana wapi? Tanga au Unguja?Umeshawahi kula ugali wa nazi?
Huyo mzungu akiula huo atafurahi sana,unakula wenyewe kama wenyewe no back up
Nimecheka sana aiseeBaada ya miezi kadhaa jamaa nilikutana nae, akaanzisha story za viwanja na nyumba, akaniuliza 'hivi mfano pale kwangu japo siuzi akitokea mtu anataka kununua thamani yake unakadiriaje
Kiukweli sijui hasili yake hasa wapi,ila bimkubwa alikuwa anatupikia longtime sanaHuu unapatikana wapi? Tanga au Unguja?