Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

Vidonda vya tumbo, mzio na umri wa mgeni utazingatiwa.

Kwamfano watoto wote wa 0-10 wa nchi hii wana mfanano wa kupenda Wali na Maharage awe ni mtoto wa spika, au wa Samia, au mwigulu au wa Bahresa wote wanaunganishwa na mapenzi yao kwa Wali maharage..
Ni nadra mno kusikia mtoto ukiusema vibaya ubwabwa.

Vyakula vingine wanakula pia kama side dish...lakini ukiwaondolea options , kwa watoto wali na maharage ndio main staple.

Lakini pia wapo watu wasiopenda chakula cha aina fulani kwasabu za kiimani, kisaikolojia au kiafya.
Mimi hapa nina mtoto asiye kula samaki mbichi, leta kitoweo chochote atakula ila sio samaki mbichi sasa
Ikiwa mgeni wako huyo hali chakula cha aina fulani badala yake akakupa cheaper options, kwanini uone shida.

Mimi sili dagaa kwa mfano, lakini naweza kutumia mboga za majani kama replacement....shida haipo.
Wee jamaa unajua Sana jamii yetu ilivyo
 
Haya mambo ya kwenda mji fulani kisha unafikia kwa mtu,nilidhani yalisha pitwa na wakati? Kwanini usifikie Hotelini ili ukae kwa raha zako na kwa uhuru? Kama ni ndugu unaenda tu kumsalimia,

Au huko siku hizi hakuna Hotels?
 
Sasa bia moja ya ugenini si kusumbua tu koromeo bila sababu ya msingi bwashee?
Sisi tunaofahamiana ni wanywaji na hatuna mambo mengi ukija ni kuchukua whiskey/vodka/tequila mimina kwenye glass mbili, moja yako moja mgeni, limao na chumvi pembeni.. mnakunywa mazungumzo yanaendelea... simple..
 
Chakula kwanza
 
Dini na afya ya mtu itazingatiwa kwa muda, utaratibu ukianza kuharibu budget au utaratibu wa maisha itabidi tukuonyeshe jiko au mlango wa kutokea
 
Sisi tunaofahamiana ni wanywaji na hatuna mambo mengi ukija ni kuchukua whiskey/vodka/tequila mimina kwenye glass mbili, moja yako moja mgeni, limao na chumvi pembeni.. mnakunywa mazungumzo yanaendelea... simple..
Na mkikutana wanywaji wote ugeni ni rahisi sana kupotea watu wanotumia pombe huwa hawana katabia yaku judge sana
 
Nilimpata mgeni Wa kuchagua misosi mwenyewe alisanda,ka jamaa ndo kanajitafuta halafu kanajifanya mara sili hiki mara kile tumbafuu kabisa,vile kasivyovipenda ndo nikawa navipika daily😀😀😀😀😀😀😀😀
Huyu hakuwa shemeji yako ?
 
Back
Top Bottom