Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
kama mtu hanywi maji tofauti na ya dukani ina maana ameandaa hiyo budget. Mwambie tu huna Hela ya kununua majiMgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani,
Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula,
Mara dagaa sili
Ohh maji nakunywa ya dukani tu.
Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe anaenda kupiga zake msosi kwa mama ntilie.
Hii inakaaje wadau?
Ukiachia maji Kuna maandalizi ya chakula na upikaji,, yaani huku bara la vumbi tunaandaa kichafu sana. Ukifatilia maandalizi wallah! Hautakula.Hasa kwenye maji haunikaribishi nikayanywa kamwe, wamatumbi wengi tunatumia maji machafu mno, kuna mkoa nilishakaribishwa maji ya mto na watu wanafulia na kuogea humo humo🤮
😂😂😂😂😂Kama mtu linajiongeza na kwenda kufakamia vibandani la nini kuhangaika nalo!
Kwani huko hakuna hotel au Airbnb?Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani,
Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula,
Mara dagaa sili
Ohh maji nakunywa ya dukani tu.
Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe anaenda kupiga zake msosi kwa mama ntilie.
Hii inakaaje wadau?
Kwamba una standard zako et 😂😂😂Kiukweli huwa sinywi maji hovyo,,siyo kwamba nina hela..ila nina standard zangu.
Anakula nyama tu huyo😅Niliwahi pata msaidizi wa kazi hali dagaa,nyanya maharage, maziwa,bamia the list goes on 😄 eti kaambiwa ana damu nyingi yaani nlichoka!