100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
π πMambo ya kuambiwa karibu ukisikie upo nyumbani hayo , kumbe ni utapeli tu bwashee , huwa wageni tunaelewa hizo code ndio maana tunachukua maji tuπ
Wee jamaa unajua Sana jamii yetu ilivyoVidonda vya tumbo, mzio na umri wa mgeni utazingatiwa.
Kwamfano watoto wote wa 0-10 wa nchi hii wana mfanano wa kupenda Wali na Maharage awe ni mtoto wa spika, au wa Samia, au mwigulu au wa Bahresa wote wanaunganishwa na mapenzi yao kwa Wali maharage..
Ni nadra mno kusikia mtoto ukiusema vibaya ubwabwa.
Vyakula vingine wanakula pia kama side dish...lakini ukiwaondolea options , kwa watoto wali na maharage ndio main staple.
Lakini pia wapo watu wasiopenda chakula cha aina fulani kwasabu za kiimani, kisaikolojia au kiafya.
Mimi hapa nina mtoto asiye kula samaki mbichi, leta kitoweo chochote atakula ila sio samaki mbichi sasa
Ikiwa mgeni wako huyo hali chakula cha aina fulani badala yake akakupa cheaper options, kwanini uone shida.
Mimi sili dagaa kwa mfano, lakini naweza kutumia mboga za majani kama replacement....shida haipo.
Wee?Utaratibu niliolelewa nao ni kwamba mgeni anaulizwa anataka nini.
Sasa bia moja ya ugenini si kusumbua tu koromeo bila sababu ya msingi bwashee?π π
Ila wabongoπ€£π€£
Kumbe hapo unataka beer hata nne zishushwe za baridiii..
Matumbi hawana hizo hela , wanaona ni kuchezea hela.Haya mambo ya kwenda mji fulani kisha unafikia kwa mtu,nilidhani yalisha pitwa na wakati? Kwanini usifikie Hotelini ili ukae kwa raha zako na kwa uhuru? Kama ni ndugu unaenda tu kumsalimia,
Au huko siku hizi hakuna Hotels?
Hapo nimekurupuka mkuu nimedanganya. Mgeni akiwa mmoja ndo anapewa uhuru. Wakiwa wengi hapana. Wa kukaa muda mrefu sijawahi kupata.Wee?
Tuseme mgeni yuko kwako kwa mwezi mzima, kila siku aulizwe anataka kula nini?
Umatumbini kwetu tunamwambia mgeni akaribie na ajisikie yupo nyumbani ila mgeni wala hafanyi hivyo , unajua kwa nini π
Maana yake wanakuonya ukiwa ugenini kaa kwa password.Nisanue, chief
Haya maswali ya vitoto vya miaka minne vikishaona kuna kuku mezani halafu mgeni huna dalili ya kuondoka ππππ€£π€£ eti mgeni una njaa, automatically nitaona hautaki nileπ
Sisi tunaofahamiana ni wanywaji na hatuna mambo mengi ukija ni kuchukua whiskey/vodka/tequila mimina kwenye glass mbili, moja yako moja mgeni, limao na chumvi pembeni.. mnakunywa mazungumzo yanaendelea... simple..Sasa bia moja ya ugenini si kusumbua tu koromeo bila sababu ya msingi bwashee?
Chakula kwanzaSisi tunaofahamiana ni wanywaji na hatuna mambo mengi ukija ni kuchukua whiskey/vodka/tequila mimina kwenye glass mbili, moja yako moja mgeni, limao na chumvi pembeni.. mnakunywa mazungumzo yanaendelea... simple..
Na mkikutana wanywaji wote ugeni ni rahisi sana kupotea watu wanotumia pombe huwa hawana katabia yaku judge sanaSisi tunaofahamiana ni wanywaji na hatuna mambo mengi ukija ni kuchukua whiskey/vodka/tequila mimina kwenye glass mbili, moja yako moja mgeni, limao na chumvi pembeni.. mnakunywa mazungumzo yanaendelea... simple..
Na ukute ni vile ni junia π, vinaweza kukukata hata makofi huku mama yake akisema "yaniii hivi ndivyo vilivyo vizoee tu"Haya maswali ya vitoto vya miaka minne vikishaona kuna kuku mezani halafu mgeni huna dalili ya kuondoka πππ
Huyu hakuwa shemeji yako ?Nilimpata mgeni Wa kuchagua misosi mwenyewe alisanda,ka jamaa ndo kanajitafuta halafu kanajifanya mara sili hiki mara kile tumbafuu kabisa,vile kasivyovipenda ndo nikawa navipika dailyππππππππ
Umenikumbusha mkuu sehemu moja nilikuwa mgeni, kwenye kupakua nyama kuna katoto kakaropoka "we usipakue nyama nyingi utammalizia babu!"Na ukute ni vile ni junia π, vinaweza kukukata hata makofi huku mama yake akisema "yaniii hivi ndivyo vilivyo vizoee tu"
Vi junia havinagaa adabu kabisa kwa mgeni, mimi huwa na navivuta mashavu kama ni kulia vilie tu πUmenikumbusha mkuu sehemu moja nilikuwa mgeni, kwenye kupakua nyama kuna katoto kakaropoka "we usipakue nyama nyingi utammalizia babu!"
Nilipata tabu sana.
Daaah jamaa kama ulikuwepo ni Ka shemeji kangu bhana au ndo wewe niniπππππHuyu hakuwa shemeji yako ?