MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

Kwa hili nitasimama na Lissu!

Suala sio utofauti wa bei,kati ya nyama na Maharage!

Hoja kubwa ni kwa nini bei za bidhaa hizo ambazo kimsingi,hazitokei Ukraine [emoji1255].

Ng'ombe wamejazana Tanzania, halafu kilo moja inakuwaje 9,000/=. ...why!

Maharage yanalimwa Tanzania [emoji1241], lakimi kilo imefikia kilo shilingi 4,000/= kwa nimi?

Samia ndie alikuwa wa kwanza kushawishi,upandaji wa bei holela,kupitia hotuba zake kadhaa,alipokuwa akitetea Tozo!

Msituone watanzania woye ni makabwela tusiojitambua.

Unapofungua mipaka ya mchi,ili kuwafurahisha baadhi ya watu na kutafuta Political Mileage.

Madhara yanapotokea muwe mnajua mlipokosea na kutoa ufafanuzi!

Leo hii mnatembea mkiwadanganya hao wavaa kijani,na kusubiria Posho,lakini wapiga kura suo hao pekee!

Mkipigwa chini baadae msije kushtuka,kwa sasa endeleeni kukamua buyu la asali.
Kwa mara ya kwanza nimekuona umeandika hoja nnje ya ule ufuasi wako wa kupitiliza kwa "mtu" mmoja badala ya hoja.

Kongole sana kwa hili.

Ningependa uendelee kuwa hivi kuongelea mambo yanayowasibu Watanzania kwa ujumla na si kuwa na hoja za ufuasi wa mtu ama chama.
 
MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.

Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM na kupokelewa na wanachama wa chama cha mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.

Katika ziara ameweza kufika wilayani Misungwi ambapo kupitia mkutano mkubwa wa Hadhara MNEC Mlao amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kazi anayoendelea kufanya kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo lakini pia amekemea vikali wanasiasa wanaopotoshaji na wanaosema uongo juu ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia ambapo amesema;

"Yupo mtu mmoja jana kafanya mkutano wa hadhara pale Dar es Salaam na waziwazi amewadanganya watanzania kuwa bei ya kilo ya Nyama na Maharage ni sawa Tanzania kitu ambacho ni uongo sote tunajua bei ya nyama kilo ni Tsh 8000-9000 huku Maharage bei ni Tsh 3500-4000 hapo tunaona utofauti mkubwa hivyo mtu huyu anapaswa kupuuzwa kwa upotoshaji huo"

Aidha MNEC Mlao ameweza kushiriki katika zoezi la upandaji miti katika Hospital mpya ya wilaya ya Misungwi sambamba na kupandisha Bendera katika Shina namba tano kata ya Misungwi na kuzungumza na mwenyekiti wa shina Ndgu Juma Malangu ambapo amemshukuru sana MNEC Mlao kwa kuthamini na kutambua kazi kubwa ya chama inayofanywa kwenye mashina ya CCM.

Pia MNEC Mlao amesisitiza wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM kuendelea kukijenga chama katika maeneo yao yote na kuwajuza kuwa uimara wa CCM utatokana na namna ambavyo tutaendelea kufanyakazi za chama kwa kujitolea vyema kuhakikisha idadi ya wanachama inazidi kukuwa sambamba nakufuatilia vyema utekelezaji wa ilani.

#MimiNiNyinyi

Imetolewa na:

JOSHUA KANDUMILA.

KATIBU WA UVCCM MKOA WA MWANZA.

View attachment 2496588
View attachment 2496589
Sema sema mnec. Msipochukua hatua kumdhibiti huyo mzandiki mtakuja juta.
 
Alimsaliti mkewe na mgogoro unajulikana kwa sasa!

LGBT ni Janga la nchi za Magharibi.
Asituletee hapa!

JamiiForums217722925.jpg
JamiiForums972103401.jpg
JamiiForums831146089.jpg
 
Hoja hujibiwa kwa hoja sio hoja kwa masasi jamani weee
 
MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.

Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM na kupokelewa na wanachama wa chama cha mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.

Katika ziara ameweza kufika wilayani Misungwi ambapo kupitia mkutano mkubwa wa Hadhara MNEC Mlao amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kazi anayoendelea kufanya kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo lakini pia amekemea vikali wanasiasa wanaopotoshaji na wanaosema uongo juu ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia ambapo amesema;

"Yupo mtu mmoja jana kafanya mkutano wa hadhara pale Dar es Salaam na waziwazi amewadanganya watanzania kuwa bei ya kilo ya Nyama na Maharage ni sawa Tanzania kitu ambacho ni uongo sote tunajua bei ya nyama kilo ni Tsh 8000-9000 huku Maharage bei ni Tsh 3500-4000 hapo tunaona utofauti mkubwa hivyo mtu huyu anapaswa kupuuzwa kwa upotoshaji huo"

Aidha MNEC Mlao ameweza kushiriki katika zoezi la upandaji miti katika Hospital mpya ya wilaya ya Misungwi sambamba na kupandisha Bendera katika Shina namba tano kata ya Misungwi na kuzungumza na mwenyekiti wa shina Ndgu Juma Malangu ambapo amemshukuru sana MNEC Mlao kwa kuthamini na kutambua kazi kubwa ya chama inayofanywa kwenye mashina ya CCM.

Pia MNEC Mlao amesisitiza wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM kuendelea kukijenga chama katika maeneo yao yote na kuwajuza kuwa uimara wa CCM utatokana na namna ambavyo tutaendelea kufanyakazi za chama kwa kujitolea vyema kuhakikisha idadi ya wanachama inazidi kukuwa sambamba nakufuatilia vyema utekelezaji wa ilani.

#MimiNiNyinyi

Imetolewa na:

JOSHUA KANDUMILA.

KATIBU WA UVCCM MKOA WA MWANZA.

View attachment 2496588
View attachment 2496589
Na bado. Wataumbuka sana. Mchawi mpe mtoto akulelee.
 
Hawa Chadema malaghai sana, yaani yaliambiwa kilo ya nyama na maharage ni 9000, yakashangilia, halafu linaelekea nyumbani, linatoa 3000 kununua kilo ya maharage.

Linatembea linajisifu kama zuzu.

Mtu mwenye akili akikuambia suala la kijinga, wakati anajua una akili, huyo amekudharau
Walibambikizwa na chadema walio nchini ili waseme uongo wakirudi nchini waonekane waongo.
 
Kama alimsaliti mkewe wewe inakuuma nini?

Asalitiwe mwengine uumie wewe. Inaonesha wewe ndiye mkewe kabisa sio kwa kujikomba huko kwake.
Kaa kimya tukupe ukweli,maana mengi huyajui kabisaa!

Huyu Lissu Upunga wake ndio ulileta mgogoro huko Ulaya,baina yake na mkewe, sio kingine!

Mke alipogundua uhalisia wa mumewe huyo!

Mke alipoona mahusiano ya ajabu ajabu na hao wazungu,ndio walianza kuzinguana!

Subiri kama utamsikia hata siku moja Lissu akipanda jukwaani na mkewe kuwasalimia wafuasi wake!

Ilikwishatoka hiyo,kumbe hata siri ya dereva kutimka na Lissu ni kwa sababu Dereva anaendesha magari mawili.
JamiiForums831146089.jpg
JamiiForums972103401.jpg
 
Na bado ndo kwanzaa kaingia nchini mnatetereka kinyama!! Mtatema ndoano kulalaaleekii 🤣🤣🤣
MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.

Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM na kupokelewa na wanachama wa chama cha mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.

Katika ziara ameweza kufika wilayani Misungwi ambapo kupitia mkutano mkubwa wa Hadhara MNEC Mlao amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kazi anayoendelea kufanya kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo lakini pia amekemea vikali wanasiasa wanaopotoshaji na wanaosema uongo juu ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia ambapo amesema;

"Yupo mtu mmoja jana kafanya mkutano wa hadhara pale Dar es Salaam na waziwazi amewadanganya watanzania kuwa bei ya kilo ya Nyama na Maharage ni sawa Tanzania kitu ambacho ni uongo sote tunajua bei ya nyama kilo ni Tsh 8000-9000 huku Maharage bei ni Tsh 3500-4000 hapo tunaona utofauti mkubwa hivyo mtu huyu anapaswa kupuuzwa kwa upotoshaji huo"

Aidha MNEC Mlao ameweza kushiriki katika zoezi la upandaji miti katika Hospital mpya ya wilaya ya Misungwi sambamba na kupandisha Bendera katika Shina namba tano kata ya Misungwi na kuzungumza na mwenyekiti wa shina Ndgu Juma Malangu ambapo amemshukuru sana MNEC Mlao kwa kuthamini na kutambua kazi kubwa ya chama inayofanywa kwenye mashina ya CCM.

Pia MNEC Mlao amesisitiza wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM kuendelea kukijenga chama katika maeneo yao yote na kuwajuza kuwa uimara wa CCM utatokana na namna ambavyo tutaendelea kufanyakazi za chama kwa kujitolea vyema kuhakikisha idadi ya wanachama inazidi kukuwa sambamba nakufuatilia vyema utekelezaji wa ilani.

#MimiNiNyinyi

Imetolewa na:

JOSHUA KANDUMILA.

KATIBU WA UVCCM MKOA WA MWANZA.

View attachment 2496588
View attachment 2496589
 
LIssu hawezi kuongea kitu cha ajabu kama hicho

Lissu kasema kilo ya maharage ni 4,000/=

Clip ya alichokisema hii hapa:

Watu wachache sana, kama wapo, wanaijua Tanzania kumzidi Lissu.
 
Kaa kimya tukupe ukweli,maana mengi huyajui kabisaa!

Huyu Lissu Upunga wake ndio ulileta mgogoro huko Ulaya,baina yake na mkewe, sio kingine!

Mke alipogundua uhalisia wa mumewe huyo!

Mke alipoona mahusiano ya ajabu ajabu na hao wazungu,ndio walianza kuzinguana!

Subiri kama utamsikia hata siku moja Lissu akipanda jukwaani na mkewe kuwasalimia wafuasi wake!

Ilikwishatoka hiyo,kumbe hata siri ya dereva kutimka na Lissu ni kwa sababu Dereva anaendesha magari mawili.View attachment 2497226View attachment 2497230
Hata wewe huna unalojua ukae kimya.

Kumchamfua mtu kwasbaabu ya itikadi tofauti na chuki zako haina haja.

Kwani wewe hujawahipokutom**bwa ni mwanamme mwengine mbali na mume wako??
 
Mtu Kishaitwa Mnec jua anawaza kwa kutumia tumbo. Akili inawaza kumridhisha mwenyekiti badala ya kuangakia uhalisia wa maisha ya mwananchi

Back
Top Bottom