Tobia Mhusika mkuu, toboa, wapashe hao majiziKwa hiyo kasikiliza hotuba nzima ya TAL akaona hoja ni maharage kufananishwa na nyama hadi akaandaa na hotuba ya maharage na nyama kuwa na utofauti wa bei? Hivi kweli hawa chawa ndivyo waliyokubaliana kukomaa na vitu vya kitoto namna hii?
MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.
Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM na kupokelewa na wanachama wa chama cha mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.
Katika ziara ameweza kufika wilayani Misungwi ambapo kupitia mkutano mkubwa wa Hadhara MNEC Mlao amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kazi anayoendelea kufanya kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo lakini pia amekemea vikali wanasiasa wanaopotoshaji na wanaosema uongo juu ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia ambapo amesema;
"Yupo mtu mmoja jana kafanya mkutano wa hadhara pale Dar es Salaam na waziwazi amewadanganya watanzania kuwa bei ya kilo ya Nyama na Maharage ni sawa Tanzania kitu ambacho ni uongo sote tunajua bei ya nyama kilo ni Tsh 8000-9000 huku Maharage bei ni Tsh 3500-4000 hapo tunaona utofauti mkubwa hivyo mtu huyu anapaswa kupuuzwa kwa upotoshaji huo"
Aidha MNEC Mlao ameweza kushiriki katika zoezi la upandaji miti katika Hospital mpya ya wilaya ya Misungwi sambamba na kupandisha Bendera katika Shina namba tano kata ya Misungwi na kuzungumza na mwenyekiti wa shina Ndgu Juma Malangu ambapo amemshukuru sana MNEC Mlao kwa kuthamini na kutambua kazi kubwa ya chama inayofanywa kwenye mashina ya CCM.
Pia MNEC Mlao amesisitiza wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM kuendelea kukijenga chama katika maeneo yao yote na kuwajuza kuwa uimara wa CCM utatokana na namna ambavyo tutaendelea kufanyakazi za chama kwa kujitolea vyema kuhakikisha idadi ya wanachama inazidi kukuwa sambamba nakufuatilia vyema utekelezaji wa ilani.
#MimiNiNyinyi
Imetolewa na:
JOSHUA KANDUMILA.
KATIBU WA UVCCM MKOA WA MWANZA.
View attachment 2496588
View attachment 2496589
Mnec hujui hesabu.MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.

Huyo ng'ombe wa kuuza nyama yake kilo elfu 4 labda ZanzibarNyie ndio mliovuruga. Tuna ng'ombe wengi, hivyo bei ya nyama ilitakiwa iwe kilo 1 ni tsh.4000. Hamjamsoma Lisu vizuri, hapo mnaingia kwenye 18 alioitaka ili abutue mpita vizuri. Sasa hiyo iliyotakiwa kuwa bei ya nyama ndio bei ya maharage mpo apo. Hii bei ya tsh.9000 mpaka 10,000 siyo bei halali, bali ni ulanguzi. Nayo mnataka kusingizia vita ya Ukraine na Urusi? Wakati mifugo tunayo
Wilbroad Slaa ambaye aliwahi kuwa kiongozi wa Chadema kabla ya kurejea CCM, ameisifu hotuba ya Tundu Lissu aliyoitoa Temeke huku akidai kwamba imegusa penyewe hasa.MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.
Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM na kupokelewa na wanachama wa chama cha mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.
Katika ziara ameweza kufika wilayani Misungwi ambapo kupitia mkutano mkubwa wa Hadhara MNEC Mlao amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kazi anayoendelea kufanya kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo lakini pia amekemea vikali wanasiasa wanaopotoshaji na wanaosema uongo juu ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia ambapo amesema;
"Yupo mtu mmoja jana kafanya mkutano wa hadhara pale Dar es Salaam na waziwazi amewadanganya watanzania kuwa bei ya kilo ya Nyama na Maharage ni sawa Tanzania kitu ambacho ni uongo sote tunajua bei ya nyama kilo ni Tsh 8000-9000 huku Maharage bei ni Tsh 3500-4000 hapo tunaona utofauti mkubwa hivyo mtu huyu anapaswa kupuuzwa kwa upotoshaji huo"
Aidha MNEC Mlao ameweza kushiriki katika zoezi la upandaji miti katika Hospital mpya ya wilaya ya Misungwi sambamba na kupandisha Bendera katika Shina namba tano kata ya Misungwi na kuzungumza na mwenyekiti wa shina Ndgu Juma Malangu ambapo amemshukuru sana MNEC Mlao kwa kuthamini na kutambua kazi kubwa ya chama inayofanywa kwenye mashina ya CCM.
Pia MNEC Mlao amesisitiza wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM kuendelea kukijenga chama katika maeneo yao yote na kuwajuza kuwa uimara wa CCM utatokana na namna ambavyo tutaendelea kufanyakazi za chama kwa kujitolea vyema kuhakikisha idadi ya wanachama inazidi kukuwa sambamba nakufuatilia vyema utekelezaji wa ilani.
#MimiNiNyinyi
Imetolewa na:
JOSHUA KANDUMILA.
KATIBU WA UVCCM MKOA WA MWANZA.
View attachment 2496588
View attachment 2496589
Mzee mgaya waeleweshe mapimbi wenzie wa ccm naona hawaelewe hata mfumuko wa bei ulivyo sasaLisu anazungumzia ratio ya ongezeko la bei
Tena bei ya maharage ni kubwa kuliko nyama
Hakuna cha kuokota dunia ya sasa, ila sio kuuza kwa bei juu ng'ombe wa ndani. Ni matokeo ya sera mbovuHao n'gombe wanaokoywa au wanagawiwa bure
Kama umeme iliwezekana kuunganishiwa kwa tsh. 27,000 kwa nini unashangaa bei ya ng'ombe waliopo humu ndani ya mipaka yetu kuuzwa 4000/=kwa kilo ya nyama. kinachotakiwa ni kuweka sera wezeshi.Huyo ng'ombe wa kuuza nyama yake kilo elfu 4 labda Zanzibar
Hivi huu UNEC sikuhizi umekuwa ni utaita flani naona wanajitutumua wanaanda mapokezi hadi Ma RC wanawatetemekea.
Wa NEC wa sasahivi wana hekaheka sana ila nimegundua wengi wao wanafukuzia ubunge hawana lolote
Unajua bei za pembejeo kama madawa na gharama za ufugajiHakuna cha kuokota dunia ya sasa, ila sio kuuza kwa bei juu ng'ombe wa ndani. Ni matokeo ya sera mbovu
Zipo juu kitokana na sera mbovu. Utazunguka mbuyu, lakini chanzo kipo hapoUnajua bei za pembejeo kama madawa na gharama za ufugaji
Nenda kale dagaa, siwezi kufuga n'gombe wangu kwa gharama kubwa, wewe umejikalia Dar es salaam ununue nyama kwa bei rahisiZipo juu kitokana na sera mbovu. Utazunguka mbuyu, lakini chanzo kipo hapo
Na hii ndiyo njia nzuri ya kuwaondoa kwenye reli unawapa hoja ndogo wanaikomalia lakini hoja nzito na fikirishi zinabaki bila kujibiwa mwisho wa siku tunafanya majumuisho.Kwa hiyo kasikiliza hotuba nzima ya TAL akaona hoja ni maharage kufananishwa na nyama hadi akaandaa na hotuba ya maharage na nyama kuwa na utofauti wa bei? Hivi kweli hawa chawa ndivyo waliyokubaliana kukomaa na vitu vya kitoto namna hii?
Huna akiliLissu ni msaliti
Umeandika kihutu hapo. Rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana washenzi wakubwa nyieHao n'gombe wanaokoywa au wanagawiwa bure
Tuludi kwenye Mada, Lisu hajapotoka. Kama bado kunielewa, rudia kusoma point zangu huko nyuma, tusihamishe magori.Nenda kale dagaa, siwezi kufuga n'gombe wangu kwa gharama kubwa, wewe umejikalia Dar es salaam ununue nyama kwa bei rahisi
Kuna mikoa imeweka watu unajiuliza huyu ni MNEC au MNEPI?[emoji3][emoji3][emoji3],hapo eti ndio kamkaanga Lissu,yaani hawa ni Chawa tu tofauti ni majina tu,sijui MNEC mara DC ni machawa tu
NDIYO kwa sababu itawafanya msiolima mlime. Kwa nyinyi kununua kilo ya maharage TSHS 4000 sasa mkulima anapata bei ya 3000 kutoka 1500. CCM OYEEKwahiyo mnajivunia kilo ya maarage kuwa elfu nne?