Ni kweli bei ya maharage ni 3600 inakimbilia 5,00 soon. Hapo Lisu katimbanya.MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.
Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM na kupokelewa na wanachama wa chama cha mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.
Katika ziara ameweza kufika wilayani Misungwi ambapo kupitia mkutano mkubwa wa Hadhara MNEC Mlao amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kazi anayoendelea kufanya kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo lakini pia amekemea vikali wanasiasa wanaopotoshaji na wanaosema uongo juu ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia ambapo amesema;
"Yupo mtu mmoja jana kafanya mkutano wa hadhara pale Dar es Salaam na waziwazi amewadanganya watanzania kuwa bei ya kilo ya Nyama na Maharage ni sawa Tanzania kitu ambacho ni uongo sote tunajua bei ya nyama kilo ni Tsh 8000-9000 huku Maharage bei ni Tsh 3500-4000 hapo tunaona utofauti mkubwa hivyo mtu huyu anapaswa kupuuzwa kwa upotoshaji huo"
Aidha MNEC Mlao ameweza kushiriki katika zoezi la upandaji miti katika Hospital mpya ya wilaya ya Misungwi sambamba na kupandisha Bendera katika Shina namba tano kata ya Misungwi na kuzungumza na mwenyekiti wa shina Ndgu Juma Malangu ambapo amemshukuru sana MNEC Mlao kwa kuthamini na kutambua kazi kubwa ya chama inayofanywa kwenye mashina ya CCM.
Pia MNEC Mlao amesisitiza wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM kuendelea kukijenga chama katika maeneo yao yote na kuwajuza kuwa uimara wa CCM utatokana na namna ambavyo tutaendelea kufanyakazi za chama kwa kujitolea vyema kuhakikisha idadi ya wanachama inazidi kukuwa sambamba nakufuatilia vyema utekelezaji wa ilani.
#MimiNiNyinyi
Imetolewa na:
JOSHUA KANDUMILA.
KATIBU WA UVCCM MKOA WA MWANZA.
View attachment 2496588
View attachment 2496589
Ukitaka vitu rahisi lima mwenyeweNi kweli bei ya maharage ni 3600 inakimbilia 5,00 soon. Hapo Lisu katimbanya.
Haya MNEC atuambie uwiano wa bei halisi na maisha ama.uwezo wa mwananchi wa kawaida kuimudu.
Kunanusha ni haki na sahihi. Lakini tunahitaji kujua ameguswa vipi na hii bei iliyo chini ya bei ya nyama. Au anasubiri ifanane na bei ya nyama ili apige kelele?
Kuna wakati wanaCCM akili wanaweka pembeni. Hasa viongozi
Soma tena post yangu hapo juu kisha njoo unijibuUnaanza kudanganya watu
huyu MNEC mlao ni mpumbavu juha kabisa. Yanai anaona ni sahihi maharage kuuzwa sh 3000-4000. fala kabisa huyuMNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI.
Alhamisi, Jan 26, 2023.
Misungwi, Mwanza.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM na kupokelewa na wanachama wa chama cha mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza.
Katika ziara ameweza kufika wilayani Misungwi ambapo kupitia mkutano mkubwa wa Hadhara MNEC Mlao amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kazi anayoendelea kufanya kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo lakini pia amekemea vikali wanasiasa wanaopotoshaji na wanaosema uongo juu ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia ambapo amesema;
"Yupo mtu mmoja jana kafanya mkutano wa hadhara pale Dar es Salaam na waziwazi amewadanganya watanzania kuwa bei ya kilo ya Nyama na Maharage ni sawa Tanzania kitu ambacho ni uongo sote tunajua bei ya nyama kilo ni Tsh 8000-9000 huku Maharage bei ni Tsh 3500-4000 hapo tunaona utofauti mkubwa hivyo mtu huyu anapaswa kupuuzwa kwa upotoshaji huo"
Aidha MNEC Mlao ameweza kushiriki katika zoezi la upandaji miti katika Hospital mpya ya wilaya ya Misungwi sambamba na kupandisha Bendera katika Shina namba tano kata ya Misungwi na kuzungumza na mwenyekiti wa shina Ndgu Juma Malangu ambapo amemshukuru sana MNEC Mlao kwa kuthamini na kutambua kazi kubwa ya chama inayofanywa kwenye mashina ya CCM.
Pia MNEC Mlao amesisitiza wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM kuendelea kukijenga chama katika maeneo yao yote na kuwajuza kuwa uimara wa CCM utatokana na namna ambavyo tutaendelea kufanyakazi za chama kwa kujitolea vyema kuhakikisha idadi ya wanachama inazidi kukuwa sambamba nakufuatilia vyema utekelezaji wa ilani.
#MimiNiNyinyi
Imetolewa na:
JOSHUA KANDUMILA.
KATIBU WA UVCCM MKOA WA MWANZA.
View attachment 2496588
View attachment 2496589
Kama hutaki kalime mwenye- asiyejua kupanda hata kulahuyu MNEC mlao ni mpumbavu juha kabisa. Yanai anaona ni sahihi maharage kuuzwa sh 3000-4000. fala kabisa huyu
Akili haiuzwi dukaniUsile usichojua kupanda
kwa kusema COMTE ni MNEC si ni uongo unajua hivyoSoma tena post yangu hapo juu kisha njoo unijibu
Soma rejeo- la KJMTAkili haiuzwi dukani
Kukariri ndo kunaleta aina hii ya mawazoSoma rejeo- la KJMT
9. Lengo la Katiba hii ni kuwezesha ujenzi wa Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar au wa chochote kati ya vyombo vyake na udugu na amani kutokana na kufuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, amabyo inasisitiza utekelezaji wa misingi ya kijamaa kwa kuzingatia mazingira yaliyomo katika Jamhuri ya Muungano. Kwa hiyo, Mamlaka ya Nchi na vyombo vyake vyote vinawajibika kuelekeza sera na shughuli zake zote katika lengo la kuhakikisha-
Kwa hiyo ufanye jitihada ujitegeme na njia sahihi ni kujilimia chaula chako mwenyewe
Wewe ndiyo hovyo. Mwulize mfugaji kama bei hiyo inamtosha. Mwulize mkulima wa maharage kama bei ni nzuri. CHADEMA nu wapuuzi, hawajui kwamba hii ni nchi ya wafanyakazi, siyo ya wafanyakazi na WAKULIMA, si watu wa maofisini tu wanaonunua maharage sokoni. Kupanda bei ya maharage au nyama ni taarifa nzuri sana kwa mpiga kura kijijini anayelima maharage hayo.Huyu mnec hovyo kabisa,sasa hiyo elfu tatu ndogo?
Kukariri ndo kunaleta aina hii ya mawazo
siku nyingine uandike vizuri ili uelewekeKama hutaki kalime mwenye- asiyejua kupanda hata kula
Yaani hata ufoke namna can't lakini ukweli unabaki palepale kwamba inflation ni zao la uzembe wa serikali.
huyu jina la mwisho anaitwa chinembe!?Umekosea herufi mbili za mwanzo. rudia tafadhalikweli wewe ni chinembe
Chawa oyeeNDIYO kwa sababu itawafanya msiolima mlime. Kwa nyinyi kununua kilo ya maharage TSHS 4000 sasa mkulima anapata bei ya 3000 kutoka 1500. CCM OYEE