Pre GE2025 Mngependa nani awe Kampeni Meneja wa Rais Samia hapo mwakani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mchekini manara yuko free
 
Ni sawa na kumtukana mwenye majukumu hayo kwa sasa Nchimbi na sekretariati yake hawana strategist wa kufanya ya uchaguzi.
 
Ndio atagombea na ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania .ndio maana unaona makundi mbalimbali yanaendelea kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu pamoja na usafiri.
Mwashambwa nangojea tamko la wafipa, wandali, wanyamwanga na wengineo wa kanda hiyo, usiniache kwenye mchango
 
Ndugu yangu kumbuka kuna Muumba pia, yani wewe hata jumapili pambio zako ni kwa samia tu
 
Kwa chama pendwa hata wakichagua kichaa awe kampeni meneja! Hawana wasiwasi!
Wanajivunia Tume ya Uchaguzi,Polisi,Jeshi na wale jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…