Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hata wakichagua mbwaKwa chama pendwa hata wakichagua kichaa awe kampeni meneja! Hawana wasiwasi!
Wanajivunia Tume ya Uchaguzi,Polisi,Jeshi na wale jamaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakichagua mbwaKwa chama pendwa hata wakichagua kichaa awe kampeni meneja! Hawana wasiwasi!
Wanajivunia Tume ya Uchaguzi,Polisi,Jeshi na wale jamaa!
Yes tuwe na Makamu Mwanamke nchi iongozwe na wanawake tupuMwashambwa hiyo nafasi ni yako
Tofautisha pambio na ukweli.Ndugu yangu kumbuka kuna Muumba pia, yani wewe hata jumapili pambio zako ni kwa samia tu
Acha ujinga wako dogo .Yes tuwe na Makamu Mwanamke nchi iongozwe na wanawake tupu
Asante kwa maoni yakoPamoja na kuwa simkubali makonda,lakini CCM wakitaka kampeni ya maana huyu bwana atawafaa.
Mkuu umezidi, hata njaa ina kikomoTofautisha pambio na ukweli.
Asante kwa maoni yako.vipi leo hujaaamka na vimiminika kichwani?😀😀😀Wewe mwenyewe uwe
Mimi ni mkulima kwa hiyo sina njaaMkuu umezidi, hata njaa ina kikomo
Ubora wa CCM kisera na kiitikadi unaifanya CCM iendelee kusalia madarakani muda wote na kuendelea kukubalika,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzaniaKwa chama pendwa hata wakichagua kichaa awe kampeni meneja! Hawana wasiwasi!
Wanajivunia Tume ya Uchaguzi,Polisi,Jeshi na wale jamaa!
Kwahiyo tukipata Makamu mwanamke tatizo nini?Acha ujinga wako dogo .
Kuna UWT mmoja nasubiri anikopesheAsante kwa maoni yako.vipi leo hujaaamka na vimiminika kichwani?😀😀😀
Utakopeshwaje mtu kama wewe wakati umekaa kitapeli tapeli tu.Kuna UWT mmoja nasubiri anikopeshe
Kuna UWT wenzako wachache naheshimiana naoUtakopeshwaje mtu kama wewe wakati umekaa kitapeli tapeli tu.
Hata Wizi wa kura ni Sera!Ubora wa CCM kisera na kiitikadi unaifanya CCM iendelee kusalia madarakani muda wote na kuendelea kukubalika,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania
Mtu wa watu kabisa CPA AMOS MAKALLANdugu zangu Watanzania,
Kwa kuwa Mwakani ni uchaguzi Mkuu wa udiwani ,ubunge na Urais. Na kwa kuwa Fomu ni moja tu ya Urais ndani ya CCM kwa ajili na maalumu kwa Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,na kwa kuwa ndio chaguo la mamilioni ya watanzania kutokana na makubwa aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake na kugusa maisha ya mamilioni ya watanzania.
Niilikuwa nauliza katika kukamilisha ratiba na kutimiza wajibu tu mngependa Nani awe Kampeni Meneja wa Mama yetu Mpendwa? Nasema kukamilisha ratiba na kutimiza wajibu kwa sababu mpaka sasa Rais Samia ndiye kiongozi anayependwa na kukubalika kuliko mtu Mwingine yeyote yule,ni kiongozi ambaye tayari ameshashinda katika mioyo ya watanzania,ni kiongozi ambaye hana wa kumzuia ,wala hakuna mtu mwenye ubavu wala uwezo wala nguvu wala ushawishi wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura na mahali pengine popote pale.
Kwangu mimi nilikuwa napendekeza mtu huyo awe ni mtu mwenye kujiamini,mwenye uwezo na pumzi kubwa ya kuweza kuzungumza jukwaani bila kuchoka lakini Mwenye kuzungumza kwa umakini,hoja na mtiririko mzuri.awe ni mtu anayefahamu vyema sana na kwa undani nini chama kiliahidi katika uchaguzi uliopita,nini kimetekeleza na kwa kiwago gani.
Mtu huyu awe na uwezo na umahiri mzuri katika lugha na kuitumia katika namna itakayovuta na kuteka hisia za watu hadi kuwabubujisha machozi ya furaha makundi yote.,awe na uwezo wa kutetea hoja na kuifafanua katika namna ambayo mwananchi wa kawaida hata asiye na Elimu ataelewa vyema sana.awe na uwezo wa kuzungumza kwa utaratibu na kwa sauti yenye kuteka hisia za watu.awe na uwezo wa kuyasoma mazingira kwa uharaka na kubadilika kwa uharaka na kujuwa namna gani ya kupata usikivu wa watu.
Awe na uwezo na ufahamu na maarifa ya kuwaeleza watu ni wapi tumetoka ,wapi tupo na wapi chama kingependa tuelekee na mafanikio ambayo tumeyapata Kama Taifa. Awe ni mtu mwenye ufahamu na uelewa wa masuala mbalimbali. Ajuwe namna ya kucheza na hadhira na kuiteka na ajuwe namna ya kuanza na kumaliza hotuba yake katika namna ya kuvutia.. awe mtu anayeweza kuzungumza katika namna itakayohakikisha hakuna kundi linaachwa nyuma au kutokuguswa kisera.
Lakini pia ni lazima mtu huyo awe muadilifu,mchapa kazi ,asiye na madoa au taswira mbaya kwa watu na jamii kwa ujumla,yeye binafsi awe anakubalika na mwenye uwezo wa kumnadi mgombea wetu kwa uhodari na umahiri wa hali ya juu sana.ikiwa ni pamoja na kubadilika kulingana na mazingira na mahitaji ya eneo au kanda husika .mfano mahitaji ya wakulima wa nyanda za juu kusini ni tofauti na mahitaji ya watu wanaoishi Dar.mfano ukija nyanda za juu kusini wapiga kura watahitaji kusikia habari za pembejeo hususani mbolea,bei ya mazao yao, miundombinu hususani barabara,huduma za kijamii kama vile afya,elimu,maji,n.k.
wakati watu wa Dar masuala ya pembejeo kama vile mbolea siyo kipaombele na hitaji lao la msingi na Muhimu au kero yao.wao watahitaji kusikia habari za upatikanaji wa maji safi na salama, barabara nzuri,usafiri mzuri na kupunguza foleni na nauli jijini kupitia barabara na magari ya mwendo kasi,ajira kwa vijana ,mazingira mazuri kwa wafanya biashara,mikopo kwa vijana,akina mama na watu wenye ulemavu.huduma bora za afya n.k.View attachment 3047760
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.