Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema kujulikana .bali nimesema kupendekeza. Na hakuna ubaya katika hilo.na katika kupendekeza haimaanishi hapa ndio anakuwa amechaguliwa meneja kampeni. Ndio maana huwa kuna kuwa na kura za maoni zinazoendeshwa na Taasisi mbalimbali katika kuangalia maoni ya watu juu ya nani anakubalika kwa watu. Umewahi kujiuliza na kufahamu sababu ya kufanya hivyo?Kuna sababu au muhimu upi kampeni meneja ajulikane?
Haina haja wala faida ya kupendekeza wala kujulikana. Ni kupoteza mudaa tu.Sijasema kujulikana .bali nimesema kupendekeza. Na hakuna ubaya katika hilo.na katika kupendekeza haimaanishi hapa ndio anakuwa amechaguliwa meneja kampeni. Ndio maana huwa kuna kuwa na kura za maoni zinazoendeshwa na Taasisi mbalimbali katika kuangalia maoni ya watu juu ya nani anakubalika kwa watu. Umewahi kujiuliza na kufahamu sababu ya kufanya hivyo?
Sasa kama anakubarika kuna haja gani kumtafuta manager..ili iwejeNdio atagombea na ndiye chaguo la mamilioni ya watanzania .ndio maana unaona makundi mbalimbali yanaendelea kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu pamoja na usafiri.
Kwani uliona kampeni zinakosa mtu huyo? Ndio maana nimesema kuwa kutimiza wajibu tu maana Rais wetu ameshapita na kushinda na kupita katika mioyo ya mamilioni ya watanzaniaSasa kama anakubarika kuna haja gani kumtafuta manager..ili iweje
Mbona swali la kijinga sana hili ndugu yangu.Kwani Samia anakidhi vigezo kugombea mwakani?
Hilo ni swali kubwa TU, linahitaji majibuMbona swali la kijinga sana hili ndugu yangu.
Hilo siyo swali kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema.Hilo ni swali kubwa TU, linahitaji majibu

Apambane mahakamani na habari za yanga huko.Mzee Magoma
CCm wanawaaminisha Watanzania mkichagua mabadiriko nchi itaingia vitani, au kuwa ktk sintofahamu..unajiuliza kwani watu walio chini ya ccm si ndo watakuwa chini ya uongozi mwingine? Au hao wengine sio watanzania? Mana nchi kwa sehem kubwa inaongozwa na mifumo, japo mtu hasa rais anaweza kuwa na impact kubwa aidha negative au positive kutegemea hulka yake..sasa kuhusu mabadiriko , watanzania waache uoga kama kuna kiongozi nje ya ccm anaweza wampe wasisikilize hekaya za ccm, kinyume na ivo ccm itabaki milele..wanabadirishana wao tu!! Kama ccm huwa wanabdili badili iweje kwenye level ya kitaifa watanzania wasibadili chama ? Kwamba vyama pinzani having watu wengi wa kuunda serikali..nani kasema? Wapo kibao..watapatikana tu , na ukute wengine wako ccm hukohuko. Kubadilika kwa uongozi hapa Tz kunategemea wananchi wenyewe.Mambo ya Samia hatutaki kusikia, tunahitaji mabadiliko sasa. Tumekuwa wajinga kiasi gani kutawaliwa na watu walewale kwa zaidi ya miaka 60.
Tunatakiwa kujifunza kufanya mabadiliko mara kwa mara ndipo kiburi cha watawala kwa wananchi kitakapoisha.
Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.Hapo ndio tutaweka kituo kuangalia sasa tunafanyaje.Mambo ya Samia hatutaki kusikia, tunahitaji mabadiliko sasa. Tumekuwa wajinga kiasi gani kutawaliwa na watu walewale kwa zaidi ya miaka 60.
Tunatakiwa kujifunza kufanya mabadiliko mara kwa mara ndipo kiburi cha watawala kwa wananchi kitakapoisha.
Mtaji mkubwa wa tapeli ni jinga kama wewe . Nchi inaibiwa kila siku wewe unawaza kampeni meneja. Hakika hii sayari Ina majinga kiasi hiki kumbe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Kwa kuwa Mwakani ni uchaguzi Mkuu wa udiwani ,ubunge na Urais. Na kwa kuwa Fomu ni moja tu ya Urais ndani ya CCM kwa ajili na maalumu kwa Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,na kwa kuwa ndio chaguo la mamilioni ya watanzania kutokana na makubwa aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake na kugusa maisha ya mamilioni ya watanzania.
Niilikuwa nauliza katika kukamilisha ratiba na kutimiza wajibu tu mngependa Nani awe Kampeni Meneja wa Mama yetu Mpendwa? Nasema kukamilisha ratiba na kutimiza wajibu kwa sababu mpaka sasa Rais Samia ndiye kiongozi anayependwa na kukubalika kuliko mtu Mwingine yeyote yule,ni kiongozi ambaye tayari ameshashinda katika mioyo ya watanzania,ni kiongozi ambaye hana wa kumzuia ,wala hakuna mtu mwenye ubavu wala uwezo wala nguvu wala ushawishi wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura na mahali pengine popote pale.
Kwangu mimi nilikuwa napendekeza mtu huyo awe ni mtu mwenye kujiamini,mwenye uwezo na pumzi kubwa ya kuweza kuzungumza jukwaani bila kuchoka lakini Mwenye kuzungumza kwa umakini,hoja na mtiririko mzuri.awe ni mtu anayefahamu vyema sana na kwa undani nini chama kiliahidi katika uchaguzi uliopita,nini kimetekeleza na kwa kiwago gani.
Mtu huyu awe na uwezo na umahiri mzuri katika lugha na kuitumia katika namna itakayovuta na kuteka hisia za watu hadi kuwabubujisha machozi ya furaha makundi yote.,awe na uwezo wa kutetea hoja na kuifafanua katika namna ambayo mwananchi wa kawaida hata asiye na Elimu ataelewa vyema sana.awe na uwezo wa kuzungumza kwa utaratibu na kwa sauti yenye kuteka hisia za watu.awe na uwezo wa kuyasoma mazingira kwa uharaka na kubadilika kwa uharaka na kujuwa namna gani ya kupata usikivu wa watu.
Awe na uwezo na ufahamu na maarifa ya kuwaeleza watu ni wapi tumetoka ,wapi tupo na wapi chama kingependa tuelekee na mafanikio ambayo tumeyapata Kama Taifa. Awe ni mtu mwenye ufahamu na uelewa wa masuala mbalimbali. Ajuwe namna ya kucheza na hadhira na kuiteka na ajuwe namna ya kuanza na kumaliza hotuba yake katika namna ya kuvutia.. awe mtu anayeweza kuzungumza katika namna itakayohakikisha hakuna kundi linaachwa nyuma au kutokuguswa kisera.
Lakini pia ni lazima mtu huyo awe muadilifu,mchapa kazi ,asiye na madoa au taswira mbaya kwa watu na jamii kwa ujumla,yeye binafsi awe anakubalika na mwenye uwezo wa kumnadi mgombea wetu kwa uhodari na umahiri wa hali ya juu sana.ikiwa ni pamoja na kubadilika kulingana na mazingira na mahitaji ya eneo au kanda husika .mfano mahitaji ya wakulima wa nyanda za juu kusini ni tofauti na mahitaji ya watu wanaoishi Dar.mfano ukija nyanda za juu kusini wapiga kura watahitaji kusikia habari za pembejeo hususani mbolea,bei ya mazao yao, miundombinu hususani barabara,huduma za kijamii kama vile afya,elimu,maji,n.k.
wakati watu wa Dar masuala ya pembejeo kama vile mbolea siyo kipaombele na hitaji lao la msingi na Muhimu au kero yao.wao watahitaji kusikia habari za upatikanaji wa maji safi na salama, barabara nzuri,usafiri mzuri na kupunguza foleni na nauli jijini kupitia barabara na magari ya mwendo kasi,ajira kwa vijana ,mazingira mazuri kwa wafanya biashara,mikopo kwa vijana,akina mama na watu wenye ulemavu.huduma bora za afya n.k.View attachment 3047760
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tangia lini na wewe ukawa na akiliMtaji mkubwa wa tapeli ni jinga kama wewe . Nchi inaibiwa kila siku wewe unawaza kampeni meneja. Hakika hii sayari Ina majinga kiasi hiki kumbe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
Ndugu zangu Watanzania,

Mabango yote mliyoweka nchi nzima bado mnataka kufanya na kampeni? Simnasema kizuri chajiuza hela zakampeni mkafanyie maendeleo mana picha na mabango so far ni nyingi kuliko wapiga kura😄😄😄Ndugu zangu Watanzania,