Pre GE2025 Mngependa nani awe Kampeni Meneja wa Rais Samia hapo mwakani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna sababu au muhimu upi kampeni meneja ajulikane?
Sijasema kujulikana .bali nimesema kupendekeza. Na hakuna ubaya katika hilo.na katika kupendekeza haimaanishi hapa ndio anakuwa amechaguliwa meneja kampeni. Ndio maana huwa kuna kuwa na kura za maoni zinazoendeshwa na Taasisi mbalimbali katika kuangalia maoni ya watu juu ya nani anakubalika kwa watu. Umewahi kujiuliza na kufahamu sababu ya kufanya hivyo?
 
Haina haja wala faida ya kupendekeza wala kujulikana. Ni kupoteza mudaa tu.

Kinana ana uzoefu wa miaka mingi, atafahamu namna yakupanga listi yake.
 
Sasa kama anakubarika kuna haja gani kumtafuta manager..ili iweje
Kwani uliona kampeni zinakosa mtu huyo? Ndio maana nimesema kuwa kutimiza wajibu tu maana Rais wetu ameshapita na kushinda na kupita katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
 
Mambo ya Samia hatutaki kusikia, tunahitaji mabadiliko sasa. Tumekuwa wajinga kiasi gani kutawaliwa na watu walewale kwa zaidi ya miaka 60.

Tunatakiwa kujifunza kufanya mabadiliko mara kwa mara ndipo kiburi cha watawala kwa wananchi kitakapoisha.
 
kumsikiliza mwizi, muongo...kunahitaji moyo, kwasisi watoto wa nje hatuhitaji hata kusikia sauti yake yaani. Yaani anafukuza watu kama mbwa wale wenye shida zao wakiwa wameinua mabango wakihitaji msaada wake...mtu kama huyo hatufai hata robo kusimama mbele yetu
 
Mambo ya Samia hatutaki kusikia, tunahitaji mabadiliko sasa. Tumekuwa wajinga kiasi gani kutawaliwa na watu walewale kwa zaidi ya miaka 60.

Tunatakiwa kujifunza kufanya mabadiliko mara kwa mara ndipo kiburi cha watawala kwa wananchi kitakapoisha.
CCm wanawaaminisha Watanzania mkichagua mabadiriko nchi itaingia vitani, au kuwa ktk sintofahamu..unajiuliza kwani watu walio chini ya ccm si ndo watakuwa chini ya uongozi mwingine? Au hao wengine sio watanzania? Mana nchi kwa sehem kubwa inaongozwa na mifumo, japo mtu hasa rais anaweza kuwa na impact kubwa aidha negative au positive kutegemea hulka yake..sasa kuhusu mabadiriko , watanzania waache uoga kama kuna kiongozi nje ya ccm anaweza wampe wasisikilize hekaya za ccm, kinyume na ivo ccm itabaki milele..wanabadirishana wao tu!! Kama ccm huwa wanabdili badili iweje kwenye level ya kitaifa watanzania wasibadili chama ? Kwamba vyama pinzani having watu wengi wa kuunda serikali..nani kasema? Wapo kibao..watapatikana tu , na ukute wengine wako ccm hukohuko. Kubadilika kwa uongozi hapa Tz kunategemea wananchi wenyewe.
 
Mambo ya Samia hatutaki kusikia, tunahitaji mabadiliko sasa. Tumekuwa wajinga kiasi gani kutawaliwa na watu walewale kwa zaidi ya miaka 60.

Tunatakiwa kujifunza kufanya mabadiliko mara kwa mara ndipo kiburi cha watawala kwa wananchi kitakapoisha.
Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.Hapo ndio tutaweka kituo kuangalia sasa tunafanyaje.
 
Mtaji mkubwa wa tapeli ni jinga kama wewe . Nchi inaibiwa kila siku wewe unawaza kampeni meneja. Hakika hii sayari Ina majinga kiasi hiki kumbe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Tangia lini na wewe ukawa na akili
 
Kampen meneja tena wa kazi gani ?

Wakati hata with no kampen ushindi ni 150%
 
Mabango yote mliyoweka nchi nzima bado mnataka kufanya na kampeni? Simnasema kizuri chajiuza hela zakampeni mkafanyie maendeleo mana picha na mabango so far ni nyingi kuliko wapiga kura😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…