Pre GE2025 Mngependa nani awe Kampeni Meneja wa Rais Samia hapo mwakani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Najipendekeza mwenyewe , ila kwa starti moja tu lazima abaki na kura halali hakuna cha bao la mkono
 
Peter Msigwa atafaa sana 😍
 
Mabango yote mliyoweka nchi nzima bado mnataka kufanya na kampeni? Simnasema kizuri chajiuza hela zakampeni mkafanyie maendeleo mana picha na mabango so far ni nyingi kuliko wapiga kura😄😄😄
Nimesema kwa ajili ya kutimiza wajibu na ratiba tu
 
Wewe
 
Jokate na Upendo Peneza wanaiweza hiyo kazi
 
Vyombo vya dola na wahesabu kura wanatosha kwenye hizo chaguzi za kishenzi.
 
Ninyi CHADEMA hakuna wakuwapeni kura maana ni wababaishaji na madalali tu wa siasa.
Nasema hivi, kwenye hizo chaguzi za kishenzi vyombo vya dola na wahesabu kura ndio mpango mzima sio zaidi ya hapo. Hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki hizo chaguzi za kipuuzi.
 
Mpe majukumu hayo baba Yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…