Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Yule mzee alikuwa mbuzi kweliNaam katoro naifahamu inakua jiwe aliimega kimapato yaani Kuna sehemu mbili hapo hapo katoro(buseresere na katoro) jiwe akaiweka buse iwe chato ili apate mapato,infact ni mji unaokua
Ooh ahsante mkuu,Naam katoro naifahamu inakua jiwe aliimega kimapato yaani Kuna sehemu mbili hapo hapo katoro(buseresere na katoro) jiwe akaiweka buse iwe chato ili apate mapato,infact ni mji unaokua
Shughuli za pale mahususi ni kama zipiNaam katoro naifahamu inakua jiwe aliimega kimapato yaani Kuna sehemu mbili hapo hapo katoro(buseresere na katoro) jiwe akaiweka buse iwe chato ili apate mapato,infact ni mji unaokua
Achana na huyo mzee alishakufa, mbuzi nyingine unazo kwenye familia yako akiwemo baba yako, komaa nao hao kwanza maana ndio sababu ya dhiki na umasikini wako ndio maana una chuki na watu waliokufa. Kutukana watu waliokufa haitakuletea ahueni yoyote.Yule mzee alikuwa mbuzi kweli
Unataka kuhamia Katoro?Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.
Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.
Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..
Karibuni
Biashara 95%Shughuli za pale mahususi ni kama zipi
Unpafahamu katoroUnataka kuhamia Katoro?
Ni karibu kabisa na Chato
Vp mtu akiinvest katika hardwareBiashara 95%
Oh..hata sikujua ..ahsantekuna vimigodi vingi kuzunguka hilo eneo
Naam mkuu, tutoane ujinga, kwa hyo katoro sio wilaya?Katoro iko wilaya ya Geita, mkoani Geita, Buselesele ilikuwa wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera, baadaye ikawa wilaya ya Chato mkoa wa Geita mpaka sasa. Lakini zimeungana kwa sasa.
Vp movement za watu ni kubwa na za kuongezeka?Ni mji wenye pilika pilika nyingi za biashara!
mji mzuri sema tu JIWE alkusudia ku-uua na kuikuza CHATO.Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.
Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.
Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..
Karibuni
Vp lakini kwa sasa maendeleo yAke?mji mzuri sema tu JIWE alkusudia ku-uua na kuikuza CHATO.
Katoro ni kata katika wilaya ya Geita. Lakini Buselesele ni kata katika wilaya ya Chato.Naam mkuu, tutoane ujinga, kwa hyo katoro sio wilaya?