Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

Karibu Katoro mimi ni mwenyeji aiseee kwetu hapa ukitaka kuishi vizuri usijihusishe na siasa vilevile maisha ni simple sana yaani nitofauti na maeneo mengi hapa Tz kwani gharama ziko chini sana karibu sana
Kwanini mtu asijihusishe na siasa?kwani huko hakuna wanasiasa?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoro ni sehemu nzuri na hata gharama ya vitu imepoa!!!na ni mji unaokua kwa Kasi sababu ni biashara kama walivyoelezea wadau huko juu....nipo jirani na hapo katoro
 
Hardware ni mradi mzuri sana bro
Mimi nipo hapa katoro!
Wachimbaji wa madini wanapopata dhahabu huwekeza sana katika ujenzi..

Hutojuta kuanzisha hiyo biashara.
Maeneo kama Ccm, buseresere, stamico!

Gharama za maisha zipo kawaida sana.
N.k

Itoshe kusema ni mji unaokua kutokana na wageni wanao hamia ni wengi zaidi.
Nimji unaojengwa nawafanyabiashara kuliko watumishi( watumishi sio wengi kivile)
Karibu katoro
Naomba unitafutie eneo katikati ya nyamigota na katoro, au nyamigota kwenyewe coz si mbali na katoro
 
Back
Top Bottom