Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

Vp lakini kwa sasa maendeleo yAke?
maisha yameanza kurudi 2005 enzi za Kikwete hakuna kuoneana wivu, kazi kazi, sasa hivi ni " HARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA"
Mji unakuwa na kama una uwezo kawekeze pale, ila panda miti mingi kulinda mazingira, usiwe kama wasukuma wa hapa wanakata miti yote na kukimbilia mikoa mingine.
 
Ndio katoro ni sehem inayo kuwa kwa kasi sana inafurusa nyingi za kibihashara,mm nimekaa hapo miaka5,ila chanzo kikuu ni madin ya dhaabu ..wachimbaji wadogo na wakubwa wako pale kutokana na kuzungukwa na migod midomidogo mingi,,pia ziwa Victoria pamoja na Kilimo Cha mpunga na maidi vinakubalika uklima
 
Ahsante..Vp uwekezaji wa hardware, ni mzuri pia kwa pale
 
Ndio katoro ni sehem inayo kuwa kwa kasi sana inafurusa nyingi za kibihashara,mm nimekaa hapo miaka5,ila chanzo kikuu ni madin ya dhaabu ..wachimbaji wadogo na wakubwa wako pale kutokana na kuzungukwa na migod midomidogo mingi,,pia ziwa Victoria pamoja na Kilimo Cha mpunga na maidi vinakubalika uklima
Sasa nimekuelewa mkuu. Pamoja sana.
 
Katoro ni kata katika wilaya ya Geita. Lakini Buselesele ni kata katika wilaya ya Chato.
Ni vigumu kutofautisha kwa sababu zimeungana. Mfano tawi la bank ya CRDB Katoro,Wilaya ya Geita liko Buseresele Wilaya ya Chato!!!
mwendazake aliharibu sana hii nchi, yaani,
 
Mji Mkuu wa Biashara kwa Mikoa ya Geita, Kagera Geita na Shinyanga hasa katika wilaya zilizopakana na Katoro Wafanyabiashara wa Katoro tunafuata Mzigo moja kwa moja china bei zake bidhaa nikama upo Kariakoo na nimji unakuwa kwa kasi sana kwa starehe umeizidi Dodoma kwa mbali kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanapesa zinazochangiwa na migodi iliyozonguka eneo hilo
 
Duh kumbe ni masafa ya mbali
 
Hivi zina umbali gani kama km ngapi
katoro town.jpg
 
Achana na huyo mzee alishakufa, mbuzi nyingine unazo kwenye familia yako akiwemo baba yako, komaa nao hao kwanza maana ndio sababu ya dhiki na umasikini wako ndio maana una chuki na watu waliokufa. Kutukana watu waliokufa haitakuletea ahueni yoyote.
Ila ameongea ukweli yule mzee alikuwa ni meeeeee
 
Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.

Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.

Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..

Karibuni
Kuna ukimwi wa hatari ila pesa ipo
 
Katoro ni noma miaka ya 2016 tulifika na jamaa kununua piki piki tulitokea Geita mjini aisee hapo kuna mzunguko mkubwa wa pesa ,wafanyabiasbara wa Geita town wananulia vitu hapo katoro,unakuta jamaa wanauza pikipiki kwenye maboksi yake...ukitaka unaletewa fasta...Mitumba ya nguo na biashara za urembo ni full nondo...fursa zipo kama unataka kwenda nenda haraka usichelewe pako poa sana...ni mji unaokuwa sana kwa sababu ya migodi.
 
Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.

Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.

Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..

Karibuni
Tatizo la huko ni ushamba mwingi na ushirikina kipindi cha nyuma kulikuwa na ujambazi ila kwasasa kumepoa Pako vizuri ni mji unaochipukia ila hakuna mipango miji kama Miji mingine ya Tanzania
 
Panaitwa Luhumbo njia panda ya kwenda Didia.
Ahaa! Sawa,kuna kipindi tulipita hapo na zile Hiace zinazoenda Nzega kutokea Kahama...tulikaa hapo sana tukisubiri abiria wengine jamaa wa Hiace ni wangese sana kahama tu yenyewe mnakaa mpaka mnazeeka hapo stand.
 
Back
Top Bottom