Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
maisha yameanza kurudi 2005 enzi za Kikwete hakuna kuoneana wivu, kazi kazi, sasa hivi ni " HARI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA"Vp lakini kwa sasa maendeleo yAke?
Ahsante..Vp uwekezaji wa hardware, ni mzuri pia kwa paleNdio katoro ni sehem inayo kuwa kwa kasi sana inafurusa nyingi za kibihashara,mm nimekaa hapo miaka5,ila chanzo kikuu ni madin ya dhaabu ..wachimbaji wadogo na wakubwa wako pale kutokana na kuzungukwa na migod midomidogo mingi,,pia ziwa Victoria pamoja na Kilimo Cha mpunga na maidi vinakubalika uklima
Sasa nimekuelewa mkuu. Pamoja sana.Ndio katoro ni sehem inayo kuwa kwa kasi sana inafurusa nyingi za kibihashara,mm nimekaa hapo miaka5,ila chanzo kikuu ni madin ya dhaabu ..wachimbaji wadogo na wakubwa wako pale kutokana na kuzungukwa na migod midomidogo mingi,,pia ziwa Victoria pamoja na Kilimo Cha mpunga na maidi vinakubalika uklima
mwendazake aliharibu sana hii nchi, yaani,Katoro ni kata katika wilaya ya Geita. Lakini Buselesele ni kata katika wilaya ya Chato.
Ni vigumu kutofautisha kwa sababu zimeungana. Mfano tawi la bank ya CRDB Katoro,Wilaya ya Geita liko Buseresele Wilaya ya Chato!!!
Duh kumbe ni masafa ya mbaliMji Mkuu wa Biashara kwa Mikoa ya Geita, Kagera Geita na Shinyanga hasa katika wilaya zilizopakana na Katoro Wafanyabiashara wa Katoro tunafuata Mzigo moja kwa moja china bei zake bidhaa nikama upo Kariakoo na nimji unakuwa kwa kasi sana kwa starehe umeizidi Dodoma kwa mbali kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanapesa zinazochangiwa na migodi iliyozonguka eneo hilo
Katoro na Buseresere zimeungana ndiyo sababu. Kwa mfano mtu anaenda Buseresere lakini anasema anaenda Katoro.mwendazake aliharibu sana hii nchi, yaani,
Hivi zina umbali gani kama km ngapiKatoro na Buseresere zimeungana ndiyo sababu. Kwa mfano mtu anaenda Buseresere lakini anasema anaenda Katoro.
Koment yangu haina mrengo wa kisiasa
Hivi zina umbali gani kama km ngapi
Ila ameongea ukweli yule mzee alikuwa ni meeeeeeAchana na huyo mzee alishakufa, mbuzi nyingine unazo kwenye familia yako akiwemo baba yako, komaa nao hao kwanza maana ndio sababu ya dhiki na umasikini wako ndio maana una chuki na watu waliokufa. Kutukana watu waliokufa haitakuletea ahueni yoyote.
Yaani kuja kujua mpaka wake pale mpaka uwe mwenyeji,nyumba iko buseresere bati linamwaga maji katoroNaam katoro naifahamu inakua jiwe aliimega kimapato yaani Kuna sehemu mbili hapo hapo katoro(buseresere na katoro) jiwe akaiweka buse iwe chato ili apate mapato,infact ni mji unaokua
Kuna ukimwi wa hatari ila pesa ipoKwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.
Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.
Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..
Karibuni
Kuna eneo moja kama unaelekea Tinde kutokea kahama aisee! Wameandika kabisa bango eneo hili lina maambukizi makubwa sana ya mdudu...hilo eneo nimepasahau sijui ni mbele ya isaka kama unaenda Tinde.Kuna ukimwi wa hatari ila pesa ipo
ume na mtaji mkubwa. Kuna hardware nyingi sana katoro kati, stamico, ccm na njiapanda. KaribuVp mtu akiinvest katika hardware
Sawa sawa mkuuume na mtaji mkubwa. Kuna hardware nyingi sana katoro kati, stamico, ccm na njiapanda. Karibu
Kuna eneo moja kama unaelekea Tinde kutokea kahama aisee! Wameandika kabisa bango eneo hili lina maambukizi makubwa sana ya mdudu...hilo eneo nimepasahau sijui ni mbele ya isaka kama unaenda Tinde.
Tatizo la huko ni ushamba mwingi na ushirikina kipindi cha nyuma kulikuwa na ujambazi ila kwasasa kumepoa Pako vizuri ni mji unaochipukia ila hakuna mipango miji kama Miji mingine ya TanzaniaKwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.
Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.
Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..
Karibuni
Ahaa! Sawa,kuna kipindi tulipita hapo na zile Hiace zinazoenda Nzega kutokea Kahama...tulikaa hapo sana tukisubiri abiria wengine jamaa wa Hiace ni wangese sana kahama tu yenyewe mnakaa mpaka mnazeeka hapo stand.Panaitwa Luhumbo njia panda ya kwenda Didia.