Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
- Thread starter
-
- #41
Duh...Tatizo la huko ni ushamba mwingi na ushirikina kipindi cha nyuma kulikuwa na ujambazi ila kwasasa kumepoa Pako vizuri ni mji unaochipukia ila hakuna mipango miji kama Miji mingine ya Tanzania
Napafahamu vizuri sana.Unpafahamu katoro
Vp unaonaje mji ..kasi yake ya maendeleo...watu kuongezeka.Napafahamu vizuri sana.
Ni mpakani na Buselesele.
Ukiingia ukitokea Geita unaanzia Nyamigota.
Muwe mnakaa kimya kwenye vitu msivyokua na ufahamu navyo.mji mzuri sema tu JIWE alkusudia ku-uua na kuikuza CHATO.
Sio kweli, kuna zaidi ya hekari hamsini(50) za eneo la serikaliNa hii ndiyo changamoto viwanja viliuzwa Kwa fujo mpka Sasa hakuna eneo la kujenga hata shule hawakukumbuka kuacha open space yoyote ile
Hizi takwimu ni Kwa mujibu wa aliyekuwa afisa elimu mkoa Mr Anorld Msuya kabla hajaamishwa. Kwa pale mjini eneo limeshabana mpka pembezoni mwa mjiSio kweli, kuna zaidi ya hekari hamsini(50) za eneo la serikali
Ahsante..Vp uwekezaji wa hardware, ni mzuri pia kwa pale
Aisee kumbe ni mji sio wa mchezo mchezo, nashukuru sana boss wangu...kwa maelekezoHardware ni mradi mzuri sana bro
Mimi nipo hapa katoro!
Wachimbaji wa madini wanapopata dhahabu huwekeza sana katika ujenzi..
Hutojuta kuanzisha hiyo biashara.
Maeneo kama Ccm, buseresere, stamico!
Gharama za maisha zipo kawaida sana.
N.k
Itoshe kusema ni mji unaokua kutokana na wageni wanao hamia ni wengi zaidi.
Nimji unaojengwa nawafanyabiashara kuliko watumishi( watumishi sio wengi kivile)
Karibu katoro
Daaah..kumbe katoro ni ishu nyingine...Katoro ni mji unaokuwa Kwa Kasi kutokana na mzunguko wa biashara kuwa mkubwa na pia maisha ya pale sio ghali kabisa ikilinganishwa na miji mingine inayokuwa Kama Kahama na ndio kitu kinachowavutia wafanyabiashara na wateja wengi. Shughuli kubwa ni biashara na madini. Kilichoongeza thamani ya mji ni uwepo wa wafanyabiashara wanaoagiza mzigo mkubwa kutoka China na nchi nyingine za bara la Asia pasipo kutegemea kuagiza kupitia Kwa wafanyabiashara waliopo Dar es salaam
Mkuu kuna jamaa alitaka kuniuzia maeneo sehemu inaitwa Nyamigota, vipi kutoka hapo Nyamigota hadi Centre ya mji wa Katoro ni kama umbali gani?Hardware ni mradi mzuri sana bro
Mimi nipo hapa katoro!
Wachimbaji wa madini wanapopata dhahabu huwekeza sana katika ujenzi..
Hutojuta kuanzisha hiyo biashara.
Maeneo kama Ccm, buseresere, stamico!
Gharama za maisha zipo kawaida sana.
N.k
Itoshe kusema ni mji unaokua kutokana na wageni wanao hamia ni wengi zaidi.
Nimji unaojengwa nawafanyabiashara kuliko watumishi( watumishi sio wengi kivile)
Karibu katoro
Mbuzi baba yako. Mleta uzi hujamuuliza lengo lake ni nini? Aidha kwa ajili ya biashara, kuishi, kupata stori ya Katoro, kuoa, kupigwa/kupiga miti n.k. Umekimbilia . We fala kweli kweli!!!Yule mzee alikuwa mbuzi kweli
Si mchezoKuna eneo moja kama unaelekea Tinde kutokea kahama aisee! Wameandika kabisa bango eneo hili lina maambukizi makubwa sana ya mdudu...hilo eneo nimepasahau sijui ni mbele ya isaka kama unaenda Tinde.
Nyamigita kwenda mjini nauli ni 500 kwa bajaji. Hakuna umbali mrefu.Mkuu kuna jamaa alitaka kuniuzia maeneo sehemu inaitwa Nyamigota, vipi kutoka hapo Nyamigota hadi Centre ya mji wa Katoro ni kama umbali gani?
Nyumba ya chumba self, sitting room, na yenye jiko bei gani huko katoro.. (ilio katika hali nzur)Nyamigita kwenda mjini nauli ni 500 kwa bajaji. Hakuna umbali mrefu.
Umbali wake ni takribani km 2 inaweza chukua dk10Mkuu kuna jamaa alitaka kuniuzia maeneo sehemu inaitwa Nyamigota, vipi kutoka hapo Nyamigota hadi Centre ya mji wa Katoro ni kama umbali gani?
Kuanzia elf 50-70 kwa mweziNyumba ya chumba self, sitting room, na yenye jiko bei gani huko katoro.. (ilio katika hali nzur)
Ni zaidi ya Mbuzi,yule ni Lucifer kabisa.Yule mzee alikuwa mbuzi kweli