Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

Karibu Katoro mimi ni mwenyeji aiseee kwetu hapa ukitaka kuishi vizuri usijihusishe na siasa vilevile maisha ni simple sana yaani nitofauti na maeneo mengi hapa Tz kwani gharama ziko chini sana karibu sana
Ahsante President Bill Clinton
 
Naam katoro naifahamu inakua jiwe aliimega kimapato yaani Kuna sehemu mbili hapo hapo katoro(buseresere na katoro) jiwe akaiweka buse iwe chato ili apate mapato,infact ni mji unaokua
Huijui katoro

Maana hayo maamuzi hayakufanywa na jiwe

Baada ya mkoa wa Geita kuanzishwa 2007 ndo mgawanyiko ulipoanza jua hilo na wala sio Jiwe


Ingawa alipokuja kuwa Rais alipenda katoro irudi chato
 
Kijfupi katoro wenyeji wa pale wanaiita kariakoo ya upande wa kule
 
Karibu sana katoro, mji wa kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…