PostGE2025 Mnyika: Chama kitafanya kumbukumbu na Maombolezo ya Siku 7 kuanzia Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079

​

Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29.

Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA iliyokutana leo Oktoba 27, 2026, imeazimia kuendelea kutaka uchunguzi huru kuhusu mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata pamoja na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao walipwe fidia.

Ameeleza kuwa bendera za chama zitapepea nusu mlingoti kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 4 Novemba 2026. Aidha, tarehe 3 Novemba 2026 kutakuwa na kumbukumbu na maombolezo maalum yatakayoandaliwa na chama hicho kuanzia saa moja usiku, ambapo mishumaa itawashwa kwa idadi ya waliouawa sambamba na matukio mengine ya kumbukumbu.

Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia, wakiwemo walioteuliwa au kupoteza wapendwa wao na wenye ulemavu, ili kuwapa faraja ya upendo na utu. Kufuatia maazimio haya, Kamati Kuu imeelekeza viongozi wa ngazi zote kuanzia taifa, kanda, mikoa, wilaya hadi majimbo kuanza maandalizi ya kujumuika na familia hizo.
 
well done Chadema.

Kumbukumbu ya chadema kuhusika moja kwa moja katika kuongoza, kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi, ghasia, uharibifu, uporaji na mauaji ya waTanzania waliokataa kususia uchaguzi right?🐒
 
Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29.

Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA iliyokutana leo Oktoba 27, 2026, imeazimia kuendelea kutaka uchunguzi huru kuhusu mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata pamoja na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao walipwe fidia.

Ameeleza kuwa bendera za chama zitapepea nusu mlingoti kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 4 Novemba 2026. Aidha, tarehe 3 Novemba 2026 kutakuwa na kumbukumbu na maombolezo maalum yatakayoandaliwa na chama hicho kuanzia saa moja usiku, ambapo mishumaa itawashwa kwa idadi ya waliouawa sambamba na matukio mengine ya kumbukumbu.

Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia, wakiwemo walioteuliwa au kupoteza wapendwa wao na wenye ulemavu, ili kuwapa faraja ya upendo na utu. Kufuatia maazimio haya, Kamati Kuu imeelekeza viongozi wa ngazi zote kuanzia taifa, kanda, mikoa, wilaya hadi majimbo kuanza maandalizi ya kujumuika na familia hizo.

Hapo kwenye kuwasha mishumaa usiku ndio balaa lilipo 😄

Intelligentsia haiwezi kukubali
 
Fazafaka wa Kizimkazi akisikia mambo haya ghafla anaona moon ya uzeeni. ‘Manina!
 
CHADEMA ni chama pekee cha wananchi wote wa Tanganyika
 
SAFI SANA CHAMA CHANGU. NAWAPENDA SANA VIONGOZI WANGU WA CHAMA.
 
Huu ni ushahidi kwamba wafanya vurugu ni Machadema wakishirikiana na wale wa lile kanisa
 
Thibitisha kwa video au picha kuwepo kwa CHADEMA kwenye yale maandamano?

Nina video nyingi tu zina watu wana bendera za Tanganyika na Tanzania sikuona hata bendera moja ya chama.

Hata maiti zilifunikwa kwa bendera za nchi.

Unajificha kusema lile kanisa ukimlenga Kitima ok tueleze Kitima alikuwepo wapi kwenye maandamano.

Mimi naanza kwa kuthibitisha hivyo.
downloadfile-430.jpg

Hivyo unapokuwa unapanua hilo proboscis lako wewe ChawaVariable kutetea wanaokulipa vibuku 7 usifikiri tuko zama za 1960s , 1970s , 1980s na 1990s.

October 29 haijaisha hadi iishe hili kovu la kudumu halitafutwa kwa propaganda za kujificha kuwajibika .

Watanzania wanaipenda sana bado nchi yao ila wanayachukia majizi na mafisadi na nyie machawa mnaolipwa kuwatetea hao watafuna rasilimali za nchi.

20251103_155126.jpg
20251104_035222.jpg
20251105_112447.jpg
 
Mtajificha kwenye mashamba ya karanga hadi lini? Mliua wananchi wenzetu! Na damu zao zitawalilia vizazi na vizazi.
Chadomo mkirudia tena vurugu keshokutwa mfyekwe tena si nyie ni wapumbavu mnatumikia wale wa Kanisa na Wanasiasa?
 
Back
Top Bottom