PostGE2025 Mnyika: Chama kitafanya kumbukumbu na Maombolezo ya Siku 7 kuanzia Oktoba 29

PostGE2025 Mnyika: Chama kitafanya kumbukumbu na Maombolezo ya Siku 7 kuanzia Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29.

Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA iliyokutana leo Oktoba 27, 2026, imeazimia kuendelea kutaka uchunguzi huru kuhusu mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata pamoja na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao walipwe fidia.

Ameeleza kuwa bendera za chama zitapepea nusu mlingoti kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 4 Novemba 2026. Aidha, tarehe 3 Novemba 2026 kutakuwa na kumbukumbu na maombolezo maalum yatakayoandaliwa na chama hicho kuanzia saa moja usiku, ambapo mishumaa itawashwa kwa idadi ya waliouawa sambamba na matukio mengine ya kumbukumbu.

Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia, wakiwemo walioteuliwa au kupoteza wapendwa wao na wenye ulemavu, ili kuwapa faraja ya upendo na utu. Kufuatia maazimio haya, Kamati Kuu imeelekeza viongozi wa ngazi zote kuanzia taifa, kanda, mikoa, wilaya hadi majimbo kuanza maandalizi ya kujumuika na familia hizo.
Omboleza na Mama yako , sisi ni siku ya kushangilia nchi ilidhibiti Majambazi , vibaka na waasi
 
Waliouwawa walikuwa wanafanya vurugu Kwa sehemu kubwa ukiacha wachache ambao walikumbwa kwenye ajali
upo sahihi sana ndugu maandamano gani watu wanaiba wanavunja maduka , ATM, kuchoma gas stations mabasi ya watu aiseee ninawachukia wanaharakati yaani ningeweza kuwatafuta ningejitolea kuwakata vichwa na chain saw
 
Back
Top Bottom