well done Chadema.
Kumbukumbu ya chadema kuhusika moja kwa moja katika kuongoza, kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi, ghasia, uharibifu, uporaji na mauaji ya waTanzania waliokataa kususia uchaguzi right?š
Ona ulivyo punguani! Mpaka umekuwa kero na takataka isiyohitajika JF! Watu wanaongelea watu waliouawa kinyama hiyo siku, wewe unaleta uwendawazimu wako! Hivi hakuna siku ambayo huwa unaijiwa na akili japo kidogo? Pole sana kwa tatizo la kukosa utimamu wa akili. Aheri hata ungekuwa unakaa kimya kuliko kuutangazia umma wote kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Akili yote umeipoteza, umebakia na neno moja tu, 'nosense, ndilo unalokumbuka! Nimeamini, ni aheri mgonjwa wa kifafa kuliko mgonjwa wa akili.