ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Waliouwawa walikuwa wanafanya vurugu Kwa sehemu kubwa ukiacha wachache ambao walikumbwa kwenye ajaliKufanya kumbukumbu na kuombea wafu inakuwaje vurugu ndugu?
Waliouwawa walikuwa wanafanya vurugu Kwa sehemu kubwa ukiacha wachache ambao walikumbwa kwenye ajaliKufanya kumbukumbu na kuombea wafu inakuwaje vurugu ndugu?
Wewe ni matako kweliwell done Chadema.
Kumbukumbu ya chadema kuhusika moja kwa moja katika kuongoza, kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi, ghasia, uharibifu, uporaji na mauaji ya waTanzania waliokataa kususia uchaguzi right?🐒
Sasa nimeamini vilaza siyo wa kuwapa madaraka. Akili yenu ya kufikiri na kuchanganua mambo iko chini sana.Chadomo mkirudia tena vurugu keshokutwa mfyekwe tena si nyie ni wapumbavu mnatumikia wale wa Kanisa na Wanasiasa?
Hakuna uchanganuzi Kwa wavuruga amaniSasa nimeamini vilaza siyo wa kuwapa madaraka. Akili yenu ya kufikiri na kuchanganua mambo iko chini sana.
Katika 500+ wangapi walikutwa kwenye ajali?Waliouwawa walikuwa wanafanya vurugu Kwa sehemu kubwa ukiacha wachache ambao walikumbwa kwenye ajali
Hili ni jambo muhimu sana kukiwepo na utaratibu mzuri wa kulitekeleza bila ya kuchafuliwa na waovu waliosababisha janga lenyewe.Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia
Ni kazi nyepesi tu ukitaka kujuwa ni wapi hawa wengi wa wanaoingiza CHADEMA na Kanisa wanakotokea.Nina video nyingi tu zina watu wana bendera za Tanganyika na Tanzania sikuona hata bendera moja ya chama.
Hata maiti zilifunikwa kwa bendera za nchi.
Unajificha kusema lile kanisa ukimlenga Kitima ok tueleze Kitima alikuwepo wapi kwenye maandamano
October 29 ni JPM birthday,
Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29.
Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA iliyokutana leo Oktoba 27, 2026, imeazimia kuendelea kutaka uchunguzi huru kuhusu mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata pamoja na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao walipwe fidia.
Ameeleza kuwa bendera za chama zitapepea nusu mlingoti kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 4 Novemba 2026. Aidha, tarehe 3 Novemba 2026 kutakuwa na kumbukumbu na maombolezo maalum yatakayoandaliwa na chama hicho kuanzia saa moja usiku, ambapo mishumaa itawashwa kwa idadi ya waliouawa sambamba na matukio mengine ya kumbukumbu.
Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia, wakiwemo walioteuliwa au kupoteza wapendwa wao na wenye ulemavu, ili kuwapa faraja ya upendo na utu. Kufuatia maazimio haya, Kamati Kuu imeelekeza viongozi wa ngazi zote kuanzia taifa, kanda, mikoa, wilaya hadi majimbo kuanza maandalizi ya kujumuika na familia hizo.
Kaulize TumeKatika 500+ wangapi walikutwa kwenye ajali?
Ok, Ulizungumza usichokijua.Kaulize Tume
Kipi?Ok, Ulizungumza usichokijua.
Cha wafanya fujo na waliokufa kwa bahati mbaya.Kipi?
Wafanya fujo ni Machadema zl,waliokufa Kwa bahati mbaya wengine walitajwa na Tume na kueleza mazingira ya vifo vyao.Cha wafanya fujo na waliokufa kwa bahati mbaya.
Ni kazi nyepesi tu ukitaka kujuwa ni wapi hawa wengi wa wanaoingiza CHADEMA na Kanisa wanakotokea.
Na hii imekuwa ni ajenda yao kuu ya kufarakanisha taifa hili.
Hivi kweli Samia ataweza kutawala kwa kutegemea ukandamizaji wa haya makundi yasiyokubaliana na uovu wao?
Wanachokitegemea bila ya mafanikio ni kuwanyamazisha hawa ili waendelee bila ya usumbufu. Hili kamwe halitatokea hapa.
Jambo ambalo lilishangaza ni upigaji hovyo wa risasi. Kuna gari lilikuwa linapita lina watu wana bunduki, wale jamaa walikuwa wanapiga risasi hovyo na nadhani wamechangia pakubwa sana kwenye idadi ya vifo visivyokuwa na ulazima. Mimi nilitoka, wanajeshi wakawa wanatuongoza kwa angalizo baada ya kukuhoji wewe ni nani na kwanini upo nje. Moja ya maangalizo waliyokua wanatoa ni uwepo wa gari linalolenga raia.Wafanya fujo ni Machadema zl,waliokufa Kwa bahati mbaya wengine walitajwa na Tume na kueleza mazingira ya vifo vyao.
By the way hukuona vile vitoto mlivyovidanganya vikafanye fujo vikipewa msamaha?
Mmemkabidhi kizimkazi, unajivunia nini zaidi?Najivunia kuwa Mtanganyika nchi ya Mababu zangu 💪
Mbona Ufaransa hata mtu mmoja ajauwawa na wanatengeneza bunduki na risasi za kutosha,ni binadamu mwenye IQ ndogo kama ya ngedele ndiye anatumia risasi kwa binadamu wasiokuwa na silaha,IGP na viongozi wote waandamizi wa vyombo vya ulinzi wana IQ ya ngedele.Waliouwawa walikuwa wanafanya vurugu Kwa sehemu kubwa ukiacha wachache ambao walikumbwa kwenye ajali