well done Chadema.
Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29.
Ameeleza kuwa bendera za chama zitapepea nusu mlingoti kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 4 Novemba 2026. Aidha, tarehe 3 Novemba 2026 kutakuwa na kumbukumbu na maombolezo maalum yatakayoandaliwa na chama hicho kuanzia saa moja usiku, ambapo mishumaa itawashwa kwa idadi ya waliouawa sambamba na matukio mengine ya kumbukumbu.
Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia, wakiwemo walioteuliwa au kupoteza wapendwa wao na wenye ulemavu, ili kuwapa faraja ya upendo na utu. Kufuatia maazimio haya, Kamati Kuu imeelekeza viongozi wa ngazi zote kuanzia taifa, kanda, mikoa, wilaya hadi majimbo kuanza maandalizi ya kujumuika na familia hizo.

Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA iliyokutana leo Oktoba 27, 2026, imeazimia kuendelea kutaka uchunguzi huru kuhusu mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata pamoja na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao walipwe fidia.

Fazafaka wa Kizimkazi akisikia mambo haya ghafla anaona moon ya uzeeni. ‘Manina!

Chaiwell done Chadema.
Kumbukumbu ya chadema kuhusika moja kwa moja katika kuongoza, kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi, ghasia, uharibifu, uporaji na mauaji ya waTanzania waliokataa kususia uchaguzi right?🐒
CHADEMA ni chama pekee cha wananchi wote wa Tanganyika
Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29.
Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA iliyokutana leo Oktoba 27, 2026, imeazimia kuendelea kutaka uchunguzi huru kuhusu mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata pamoja na majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao walipwe fidia.
Ameeleza kuwa bendera za chama zitapepea nusu mlingoti kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 4 Novemba 2026. Aidha, tarehe 3 Novemba 2026 kutakuwa na kumbukumbu na maombolezo maalum yatakayoandaliwa na chama hicho kuanzia saa moja usiku, ambapo mishumaa itawashwa kwa idadi ya waliouawa sambamba na matukio mengine ya kumbukumbu.
Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia, wakiwemo walioteuliwa au kupoteza wapendwa wao na wenye ulemavu, ili kuwapa faraja ya upendo na utu. Kufuatia maazimio haya, Kamati Kuu imeelekeza viongozi wa ngazi zote kuanzia taifa, kanda, mikoa, wilaya hadi majimbo kuanza maandalizi ya kujumuika na familia hizo.
SAFI SANA CHAMA CHANGU. NAWAPENDA SANA VIONGOZI WANGU WA CHAMA.

water melon akifafanua maelekezo ya kanisa linaloingoza chadema kwasasaSAFI SANA CHAMA CHANGU. NAWAPENDA SANA VIONGOZI WANGU WA CHAMA.
Huu ni ushahidi kwamba wafanya vurugu ni Machadema wakishirikiana na wale wa lile kanisa

Najivunia kuwa Mtanganyika nchi ya Mababu zangu 💪CHADEMA ni chama pekee cha wananchi wote wa Tanganyika
Kufanya kumbukumbu na kuombea wafu inakuwaje vurugu ndugu?Huu ni ushahidi kwamba wafanya vurugu ni Machadema wakishirikiana na wale wa lile kanisa
Mtajificha kwenye mashamba ya karanga hadi lini? Mliua wananchi wenzetu! Na damu zao zitawalilia vizazi na vizazi.Huu ni ushahidi kwamba wafanya vurugu ni Machadema wakishirikiana na wale wa lile kanisa
Chadomo mkirudia tena vurugu keshokutwa mfyekwe tena si nyie ni wapumbavu mnatumikia wale wa Kanisa na Wanasiasa?Mtajificha kwenye mashamba ya karanga hadi lini? Mliua wananchi wenzetu! Na damu zao zitawalilia vizazi na vizazi.