PostGE2025 Mnyika: Chama kitafanya kumbukumbu na Maombolezo ya Siku 7 kuanzia Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katika kipindi hicho cha siku saba za maombolezo, CHADEMA imepanga kushirikiana na familia zitakazokuwa tayari kuwafikia wahanga wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuatia
Hili ni jambo muhimu sana kukiwepo na utaratibu mzuri wa kulitekeleza bila ya kuchafuliwa na waovu waliosababisha janga lenyewe.
Ni wazi kwamba hawa wahusika hawataki jambo kama hili lifanyike.
 
Nina video nyingi tu zina watu wana bendera za Tanganyika na Tanzania sikuona hata bendera moja ya chama.

Hata maiti zilifunikwa kwa bendera za nchi.

Unajificha kusema lile kanisa ukimlenga Kitima ok tueleze Kitima alikuwepo wapi kwenye maandamano
Ni kazi nyepesi tu ukitaka kujuwa ni wapi hawa wengi wa wanaoingiza CHADEMA na Kanisa wanakotokea.
Na hii imekuwa ni ajenda yao kuu ya kufarakanisha taifa hili.

Hivi kweli Samia ataweza kutawala kwa kutegemea ukandamizaji wa haya makundi yasiyokubaliana na uovu wao?

Wanachokitegemea bila ya mafanikio ni kuwanyamazisha hawa ili waendelee bila ya usumbufu. Hili kamwe halitatokea hapa.
 
October 29 ni JPM birthday,

Waliouwawa siku kama hii Oct 29 tunawakumbuka kama heroes💪
 
Cha wafanya fujo na waliokufa kwa bahati mbaya.
Wafanya fujo ni Machadema zl,waliokufa Kwa bahati mbaya wengine walitajwa na Tume na kueleza mazingira ya vifo vyao.

By the way hukuona vile vitoto mlivyovidanganya vikafanye fujo vikipewa msamaha?
 

Hawatafanikiwa , rekodi zipo nyingi tu hakuna mahali CHADEMA wanathibitishika walihusika na maandamano,yale maandamano yalikua organic kabisa .

Ile ilikua siku ya watu kutoa sumu zote walizokua wamezitunza muda mrefu.

Watu mara ngapi wameomba maandamano ambayo ni haki ya kikatiba wakazuiwa?

Ila ujinga wa maandamano ya kupokea mamiss na Simba na Yanga yanaruhusiwa.

Watu wakitaka maandamano ya kufikisha malalamiko yanazuiwa.

CCM hawana akili ya kutambua kwanini watu walikua wanachoma gas stations, mabasi, ofisi kadhaa tu za serikali na sio kila kitu cha serikali?

Kwanini hawajiulizi waandamanaji hawakuchoma hospital, kanisa, msikiti, sinagogi au hekalu lolote?

Ule ni ujumbe tosha walitakiwa warudi watafakari na kujisahihisha hili kovu halina dalili ya kutafutiwa tiba bali wanataka walifute kwa kulipaka rangi ipo siku rangi itafutika litaonekana tena na yatatokea makubwa sana na kuna watu safari hiyo watatafuta hifadhi uhamishoni.
 
Wafanya fujo ni Machadema zl,waliokufa Kwa bahati mbaya wengine walitajwa na Tume na kueleza mazingira ya vifo vyao.

By the way hukuona vile vitoto mlivyovidanganya vikafanye fujo vikipewa msamaha?
Jambo ambalo lilishangaza ni upigaji hovyo wa risasi. Kuna gari lilikuwa linapita lina watu wana bunduki, wale jamaa walikuwa wanapiga risasi hovyo na nadhani wamechangia pakubwa sana kwenye idadi ya vifo visivyokuwa na ulazima. Mimi nilitoka, wanajeshi wakawa wanatuongoza kwa angalizo baada ya kukuhoji wewe ni nani na kwanini upo nje. Moja ya maangalizo waliyokua wanatoa ni uwepo wa gari linalolenga raia.
 
Labda afayie sebuleni kwake.
Kama hajui moto wa jeshi la polisi ajaribu.
Hakuna kumchekea kunguni yeyote atakaye jaribu kuvunja amani.
 
Waliouwawa walikuwa wanafanya vurugu Kwa sehemu kubwa ukiacha wachache ambao walikumbwa kwenye ajali
Mbona Ufaransa hata mtu mmoja ajauwawa na wanatengeneza bunduki na risasi za kutosha,ni binadamu mwenye IQ ndogo kama ya ngedele ndiye anatumia risasi kwa binadamu wasiokuwa na silaha,IGP na viongozi wote waandamizi wa vyombo vya ulinzi wana IQ ya ngedele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…