Kesi iko mahakamani kinachotakiwa ni Mahakama itemize wajibu wake kuitoa hukumu kwa kumuachia huru Tundu Lissu baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta ushahidi wa kuweza kumtia hatiani. Hukumu hiyo itamsafisha Lissu na pia kumpa nafasi ya kuweza kudai fidia kwa madhara aliyopata kwa kuwekwa gerezani kwa mashitaka hewa. Hii mambo ya kuachiana gizani kama ilivyokuwa kwq Mbowe siyo sahihi hata kidogo.Kwenye kesi ya Mbowe Mahakama ilimtia hatiani Mbowe hivyo upande wa mashitaka kuiondoa kesi Mahakamani ni kama fadhila kwa Mbowe na serikali inaweza kum-blackmail kwa kipengele hicho.
Mnyika, Mnyika.John Mnyika ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutumia hekima na utaratibu uliotumika kufuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe utumike kwa Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Tundu Lissu ambaye anashtakiwa kwa uhaini.
Mnyika amesema hayo leo Agosti 3, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam huku akitoa wito kwa wananchi kwenda kuhudhuria kesi ya Lissu itakayoendelea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuanzia Agosti 10 mwaka huu.
Mfano aliotumia Mnyika hapo kuwasilisha hoja ya Tundu Lissu kuachiwa ni mfano mbaya kabisa unaotia mashaka makubwa...TL ameshinda haijalishi atatoka kwa mtindo upi
Zipo aina ya kesi ambazo a compromised judge is an easy route. This isn’t one of them. The reputational risk here is just too high!Hamna haja ya " smart prosecutor". Kinachotakiwa ni hakimu au jaji aliyekuwa compromised. Mbele ya hakimu/ Jaji kama huyo Lissu atashindwa tu kama walivyoshindwa wakina Sugu na Mbowe hata kama prosecutor ni mweupe na wakili wa utetezi ni super smart. Ndio maana kudai lazima kesi isikilizwe ni kuwa foolhardy tu.
Amandla...
Mfano aliotumia Mnyika hapo kuwasilisha hoja ya Tundu Lissu kuachiwa ni mfano mbaya kabisa unaotia mashaka makubwa.
Tundu Lissu akiachiwa kwa mtindo huo wa Mbowe, atakuwa "hakushinda" chochote.
It will be a disgrace.
Sijui Mnyika leo imekuwaje, maana sijawahi kamwe hata siku moja kumtilia mashaka yoyote kuhusu uwezo wake na uimara wa msimamo wake.Siungani na Mnyika katika hili, hakuna suala la hekima hapo Lissu kesi yake inatakiwa kufutwa kwa kukosa mantiki ya kuitwa kesi ya uhaini bali ni ubambikwaji wa kesi feki kwa kufuata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa CCM.
Mambo ya hekima hapo hayana nafasi , ingetokea waliopeleka mashtaka hayo katika nchi zenye mahakama imara ingetupiliwa mbali tangu siku ya kwanza.
kijana ebu tulia.Rais au mwenyekiti wa CCM?
Nani alimchagua huyo kuwa rais?
Ndiyo. Kwa maana hiyo, hayo aliyozungumza Mnyika ndiyo 'disgrace' yenyewe hiyo...mbona TL kaishawabwaga kwa utetezi wake?
kipenyo muhimu.Sijui Mnyika leo imekuwaje, maana sijawahi kamwe hata siku moja kumtilia mashaka yoyote kuhusu uwezo wake na uimara wa msimamo wake.
Kwa mara ya kwanza kabisa ninakuwa na mashaka juu yake.
Ukimtazama tu, hata lugha ya mwili wake inavyoonyesha hapo kwenye video, wakati anazungumza hayo; huyu siyo Mnyika wa siku zote.
haya aliyoyazungumza hapa hayaingii akilini kabisa.
Wewe kama mlivyo maccm wote huna akili. Ungesoma na kuelewa nilichoandika usingeandika huu ushuzi wako. Mbowe asingeweza kudai fidia kwa sababu alishatiwa hatiani then DPP akaondoa kesi mahakamani, lakini Lissu akendelea na kesi na Mahakama ikatenda haki kumuachia huru kwa sababu ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta ushahidi wa kumtia hatiani hii maana yake alishitakiwa kimakosa. Jitahidi kusoma na kuelewa ndiyo ujibu hoja. Mbowe hana akili bali serikali ilim-blackmail hadi akaingia kwenye maridhiano uchwara. Mnamsifia kwa vile alishajiunga na udhalimu wenu.Endelea kuota Lissu kuja kushinda kesi ili kudai fidia 🤠🤠
Kwani Mzee mbowe hakukaa Lupango JE alidai fidia Serikali 👈
Maana ya maridhiano moja ya msingi wake kukutoa kwenye msingi wa kuja kudai fidia 👈
lau ww kidume Endelea kukaa Lupango uje ufie Lupango lkn Lupango kunamagonjwa mengi sio kuzuri kiivyo
Mzee mbowe ni mwenye
akili sana🤠🤠
Ila unakubali bibi abunuasi ni mjingaStupid as stupid does. Nolle prosecute sio huruma. Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya atumie nolle prosequi. Mojawapo ni anapoona kuwa hana ushahidi walutosha au kesi yake haina mashiko.
Unasema Lissu amesema kuwa akipatikana na hatia anyongwe? Hizo ni bluster tu. Hivi atamlazimisha Rais kusaini hati ya kunyongwa kama ataamua kutoisaini?
Au atakataa punguzo lolote la adhabu kama Rais ataona anastahili? Anajua hii ni kesi ya kisiasa na hawezi kunyongwa hata kupatikana na hatia.
Amandla...
Huyo ni "Rais" wako wewe na wangine wa aina yako.Hiyo kesi ifutwe tu, huu si wakati muafaka wa kuwa na kesi kama hiyo hususani mwenyekiti wa chama kikubwa cha siasa. Nchi inatazamwa vibaya na jumuiya za kimataifa na inamchora vibaya rais wake anapoenda ziarani nje ya nchi. Tungependa kuona rais wetu anatazamwa vizuri huko nje watakapoona ni rais mdemokrasia asiyependa kuwaweka ndani wapinzani/wakosoaji wake
Hekima ni kutokubambikia watu kesi za uongo.Kama sio hekima, utaiita nini? Hekima ni kuendelea nayo?
Amandla...
Joyce Mukya katika moja na mbili zakoKwa hiyo hawa wapuuzi wanataka Lissu agome kutoka rumande DPP akisema hana mpango wa kuendelea na kesi ( nolle prosequi)! Aseme sitoki mpaka Mahakama itakapotoa hukumu kwenye kesi ambayo haipo Mahakamani! Na wanaamini Magereza itaendelea kumhifadhi rumande. Hawa ni wajinga au wana nia mbaya na Lissu!
Wanadhani DPP anahitaji kibali cha mshitakiwa ( Lissu, Mbowe n.k.) au Mahakama kabla ya kutangaza nolle prosequi!
Hawa ndio wanajibhalagua kuwa ndio vichwa vya Chadema.
Amandla...
Amekuambia nani majaji wote wana hofia reputation yao? There will always be those who just don't care. Or think that it would be an opportunity to return the favour of being appointed judge. Ingekuwa unavyo amini kesi ya wakina Halima isingechukua term moja kamili ya ubunge wao.Zipo aina ya kesi ambazo a compromised judge is an easy route. This isn’t one of them. The reputational risk here is just too high!
Mahakama ya Rufaa ilisema haina uwezo wa kutoa fidia kwani kesi ya msingi haijaisha, maana yake Mahakama kuu ikimwachia huru kwa upande wa mashitaka kushindwa kuleta ushahidi wa kumtia hatiani anaweza kudai fidiaUkisoma pamoja na kudismiss maombi ya DPP, Court of Appeal Tanzania imekataa maombi ya TAL aliyotaka kupewa fidia na kuachiliwa kwa kuelezwa kuwa Mahakama ya Rufani haina mamlaka hayo isipokuwa trial court.
Forget about fidia
Right. Lakini kwenye kesi hii hilo limepita.Hekima ni kutokubambikia watu kesi za uongo.
Right again. Lakini hii kesi haitazuia tabia hiyo kama ipo.Hekima ni kutokutumia lawfare dhidi ya wapinzani wako wa kisiasa.
Kutokuwa na hekima ni kumfungulia mtu kesi ya uongo. Hekima ni kutambua kuwa ule uamuzi ulikuwa sio wa hekima na kumwachia uliyemuonea. Hapo sioni jinsi ya kumuachia zaidi ya nolle prosequi.Kutumia lawfare, kumfungulia mtu kesi ya uongo huku ukijua kabisa baadaye utakuja kumwachia kwa kipengele cha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi, hiyo si hekima.
Haswa. Nae aliachiwa hivyo hivyo.Mbowe alifungwa kwa miezi 8 kwa kesi ya kizushi kuwa eti ni gaidi.
Hata kama sikubaliani naye kisiasa, Mbowe siyo gaidi.
Haswa. Nadhani hata Rugemarila wa VIP Engineering aliachiwa kwa kipengele hicho hicho.Alifungwa halafu baadaye akaja kuachiwa kwa kutumia hicho kipengele cha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi.
Hakuna mtu aliyesema ni hekima.Hapana. Kutumia lawfare ni makosa. Si hekima hata kidogo.
Sio hekima. Kama vile ilivyo kukataa kutoka gerezani baada ya kuachiwa. Utabaki gerezani kwa msingi ndani? Kama unaona ulionewa, ishtaki serikali ukiwa nje ya gereza.Sasa baadaye kuja kuwaachia watu uliowabambikia kesi, hiyo ni hekima ya wapi?
Agreed.You weren’t supposed to charge them with trumped up charges in the first place.
Lissu ataachiwa. Hataombwa radhi na hatalipwa fidia. Atakachopaswa kufanya ni kuiburuza serikali Mahakamani na kudai aombwe radhi na kulipwa fidia. Akiendelea kukaa ndani uwezo wake wa kufanya hivyo ni limited.Lissu aachiwe huru haraka. Aombwe radhi na alipwe fidia for wrongful incarceration.
Sikubali maana huyo unayemtaja simjui.Ila unakubali bibi abunuasi ni mjinga