Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Kufutwa si ndio huko kwa kupitia nolle prosequi? Au kuna njia nyingine?Hiyo kesi ifutwe tu, huu si wakati muafaka wa kuwa na kesi kama hiyo hususani mwenyekiti wa chama kikubwa cha siasa. Nchi inatazamwa vibaya na jumuiya za kimataifa na inamchora vibaya rais wake anapoenda ziarani nje ya nchi. Tungependa kuona rais wetu anatazamwa vizuri huko nje watakapoona ni rais mdemokrasia asiyependa kuwaweka ndani wapinzani/wakosoaji wake
Trump anataka maridhiano na serikali ya Iran ingawa ameua viongozi wake wakuu karibu wote. Na anaendelea kuwaangushia mabomu.Serikali ya CCM is full of mentally challenged Neanderthals! Hakuna mtu wa kawaida anayeweza kusema anataka maridhiano na wakati huohuo akaendelea kufanya mambo yaleyale yaliyoleta mpasuko kwenye jamii in the first place.
Nope! You are wrong on this one.Right. Lakini kwenye kesi hii hilo limepita.
Right again. Lakini hii kesi haitazuia tabia hiyo kama ipo.
Kutokuwa na hekima ni kumfungulia mtu kesi ya uongo. Hekima ni kutambua kuwa ule uamuzi ulikuwa sio wa hekima na kumwachia uliyemuonea. Hapo sioni jinsi ya kumuachia zaidi ya nolle prosequi.
Haswa. Nae aliachiwa hivyo hivyo.
Haswa. Nadhani hata Rugemarila wa VIP Engineering aliachiwa kwa kipengele hicho hicho.
Hakuna mtu aliyesema ni hekima.
Sio hekima. Kama vile ilivyo kukataa kutoka gerezani baada ya kuachiwa. Utabaki gerezani kwa msingi ndani? Kama unaona ulionewa, ishtaki serikali ukiwa nje ya gereza.
Agreed.
Lissu ataachiwa. Hataombwa radhi na hatalipwa fidia. Atakachopaswa kufanya ni kuiburuza serikali Mahakamani na kudai aombwe radhi na kulipwa fidia. Akiendelea kukaa ndani uwezo wake wa kufanya hivyo ni limited.
Mnyika yuko sahihi.
Amandla...
Kumbe anajua rais wetu anahekima
Haya sasa waje meza moja tukae
USSR
Mkuu, unajaribu kulinganisha vitu visivyolinganishika. Mazingira ya Kesi ya Lissu na kesi ya kina Mdee hayalinganishiki. Kwa upande mmoja, kesi ya Lissu ni kesi inayogusa human rights moja kwa moja na inafuatiliwa na dunia nzima. Kwa upande mwingine, kesi ya kina Mdee ilikuwa parochial and pure politics. Kesi ya kina Mdee ingeweza kuamuliwa kijuha very easily. Any rogue judge could do that!Amekuambia nani majaji wote wana hofia reputation yao? There will always be those who just don't care. Or think that it would be an opportunity to return the favour of being appointed judge. Ingekuwa unavyo amini kesi ya wakina Halima isingechukua term moja kamili ya ubunge wao.
Amandla...
Ni kweli au unamsemea tu kwa kuwa upo uraiani huku?Mnyika naona kama
Kachanganyikiwa Lissu hataki huruma ya mtu Kama ana makosa basi anyongwe kama hana makosa anatakiwa kuachiliwa huru bila masharti yoyote
Basic principle ni ile ile. Abuse of power.Mkuu, unajaribu kulinganisha vitu visivyolinganishika. Mazingira ya Kesi ya Lissu na kesi ya kina Mdee hayalinganishiki. Kwa upande mmoja, kesi ya Lissu ni kesi inayogusa human rights moja kwa moja na inafuatiliwa na dunia nzima. Kwa upande mwingine, kesi ya kina Mdee ilikuwa parochial and pure politics. Kesi ya kina Mdee ingeweza kuamuliwa kijuha very easily. Any rogue judge could do that!
This isn’t apple-to-apple comparison. Ukiondoa issue ya Mandela, ambayo ilihusisha a unique form of colonialism, hiyo mifano mingine yote ni ya international hostilities.Trump anataka maridhiano na serikali ya Iran ingawa ameua viongozi wake wakuu karibu wote. Na anaendelea kuwaangushia mabomu.
Netanyahu na Hamas walikuwa wanazungumza wakati Hamas wameshikilia mateka na Israel ikiua watoto wasio na hatia.
Zelensky anataka mazungumzo na Putin wakati mabomu yanaendelea kudondoshwa Kyiv.
ANC haikuacha kujadiliana na de Klerk wakati Mandela anaendelea kutumikia kifungo.
Hawa wote hawakuwa Neanderthals.
Amandla...
Kama unadhani ni rahisi kiasi hicho, basi washauri waendelee on that path!Basic principle ni ile ile. Abuse of power.
Unaposema kesi ya Lissu inafuatiliwa na dunia nzima, hiyo dunia nzima ni ipi? Lissu sio Saro- Wiwa au Mandela.
Kila mtu anajua MBS alimuua Kashoggi, nini kimempata? Netanyahu ana commit genocide with impunity akijua nothing will happen to him.
Na usisahau kesi inaweza kucheleweshwa kwa miaka zaidi ya mitano and nobody can force government iilazimishe Mahakama iisikilize kwa haraka zaidi ( separation of powers etc. etc.). Mwaka umepita na kesi bado inasua sua.
Amandla...
Mnyika kwani lissu alikwambia anaumia yeye kuwa jela??? Au umeshanunuliwaJohn Mnyika ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutumia hekima na utaratibu uliotumika kufuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe utumike kwa Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Tundu Lissu ambaye anashtakiwa kwa uhaini.
Mnyika amesema hayo leo Agosti 3, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam huku akitoa wito kwa wananchi kwenda kuhudhuria kesi ya Lissu itakayoendelea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuanzia Agosti 10 mwaka huu.
Kuna kitu unashindwa kukielewa hapa.You are conflating two different issues. Kutumia law fare kumuonea mtu si hekima. Ila kumuachia mtu baada ya shinikizo ni hekima. Kuendelea kumshikilia ndio kukosa hakima. Kugoma kutoka baada ya kuachiwa nako kutakuwa sio hekima.
Amandla...
Mzee Mbowe Ali "cooperate". Lissu anajifanya kushupaza shingo. Shauri yake!John Mnyika ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutumia hekima na utaratibu uliotumika kufuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe utumike kwa Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Tundu Lissu ambaye anashtakiwa kwa uhaini.
Mnyika amesema hayo leo Agosti 3, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam huku akitoa wito kwa wananchi kwenda kuhudhuria kesi ya Lissu itakayoendelea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuanzia Agosti 10 mwaka huu.
Unique colonialism ilihusika vipi wakati Ken Saro-Wiwa alinyongwa na Abacha? Au m Saudi Kashoggi aliyeuawa na Prince MBS wa Saudi. Hawa nao si walikuwa wanaongozwa kwa mila na desturi zile zile? What is so unique about Lissu's case na Tanzania?This isn’t apple-to-apple comparison. Ukiondoa issue ya Mandela, ambayo ilihusisha a unique form of colonialism, hiyo mifano mingine yote ni ya international hostilities.
Issue yetu ni issue baina ya ndugu. Ndugu hawawezi kuridhiana kwa style hiyo kwa sababu wanaongozwa na mila na desturi zilezile. Kupotezana sio sehemu ya mila zetu Watanzania. That’s pure evil and should have stopped!
Siungani na Mnyika katika hili, hakuna suala la hekima hapo Lissu kesi yake inatakiwa kufutwa kwa kukosa mantiki ya kuitwa kesi ya uhaini bali ni ubambikwaji wa kesi feki kwa kufuata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa CCM.
Mambo ya hekima hapo hayana nafasi , ingetokea waliopeleka mashtaka hayo katika nchi zenye mahakama imara ingetupiliwa mbali tangu siku ya kwanza.
Fundi hatetei lawfare ya aina yeyote.Kuna kitu unashindwa kukielewa hapa.
CCM ni repeat offenders wa kutumia lawfare.
Hivyo, wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa .
Lissu si mhanga wa kwanza na hatokuwa wa mwisho.
Wanasiasa wangapi hapa Tanzania wamekuwa wahanga wa lawfare?
Watu ambao wanatumia lawfare kama silaha dhidi ya wapinzani wao wa kisiasa, na wanaitumia si mara moja, mbili, tatu, wala nne, watu hao wana hekima gani wanapoamua kutokuendelea na hizo kesi za za kubambikia watu?
Au wewe safari hii ya Lissu kufungwa ndo umeyaona hayo matumizi ya lawfare?
Tena hata sasa hivi bado wanawakamata watu na kuwafungulia kesi za ajabu ajabu tu zisizo na kichwa wala miguu.
Halafu baadaye utasikia ‘Rais’ kawasamehe au mwendesha mashitaka kaamua kutokuendelea na kesi.
Yaani kila mara wakimwona mtu anahatarisha maslahi yao ya kisiasa, wanatumia sheria kumnyamazisha halafu baadaye wakiamua kutokuendelea naye, wewe unaona hiyo ni hekima?
Matumizi mabaya ya sheria yanayojirudia rudia miaka nenda rudi, wewe unaona ni hekima?
Unatetea kisichoteteeka Fundi!
Sioni uhusiano wa ulichoandika na nilichoandika!Unique colonialism ilihusika vipi wakati Ken Saro-Wiwa alinyongwa na Abacha? Au m Saudi Kashoggi aliyeuawa na Prince MBS wa Saudi. Hawa nao si walikuwa wanaongozwa kwa mila na desturi zile zile? What is so unique about Lissu's case na Tanzania?
Amandla...
Basi iwe hivyo.Sioni uhusiano wa ulichoandika na nilichoandika!