Mnyika kama hili ni kweli ama ujitokeze ueleze hadharani au jiuzulu

Huu ni uzushi mtupu sawa na ule wa kusema CHADEMA waliteua wabunge wa viti maalumu kuingia Bungeni. Uhuni uliotumika ndio wanataka kuutumia kwenye hii issue.
 
Nadhani uungwana hapa ni mbowe atoke ndani, kwani nilivyomsikiliza mama anania ya kumaliza hili sakata kiuungwana! tatizo kuna UJUAJI WA KILUGHA ZISIZO NA STAHA! wakakutane na serikali ( raisi ) wayamalize kimya kimya then washikane mikono hadharani kuzima umbea umbea usio na faida kwa Taifa then mambo mengine yaendelee! Suala la kubishana kupitia vyombo vya habari na mitandaoni sioni kama ni hekima, kwangu mimi naona ni ujuaji tuu usio na faida kwa TAIFA na kwa familia ya Mbowe mwenyewe!
Kuna sababu kubwa MUNGU kutuumba na masikio mawili na mdomo mmoja, yaani tuwe wasikivu zaidi na tuongee kidogo!
Ni mtazamo tu!
 
1.Kwa sababu Kila njia halali inabidi itumike kumtoa mwenyekekiti kwenye kesi ya michongo.2 Kwa sababu kesi hii na ushahidi ni wa michongo na pia Mangula si Sukuma Gang, muhuni au kiroboto.
 
Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?

Akwambie wewe kama Nani. Embu mwache aliyeandikiwa ajibu.
 
Katika Hali ya kawaida kuleta hoja ya mwenyekiti kwenye kikao ambacho chama husika kimesusia ni jambo linalofikirisha na kuzusha maswali mengi.......

Hili jambo linahitaji mjadala mpana na yakinifu kuweza kung'amua yaliyo kwenye mabano......
Sawasawa Mkuu. Lengo la Zito lilikuwa nini? Maana hata jinsi alivyolizungumzia Ni katika namna ya kuonyesha kuwa Mbowe ana makosa. Tofauti na alivyolizungumzia Mbatia. Na angalia alivyolijibu mama kana kwamba Ni Jambo jepesi vile.wewe unasema mbowe Ni gaidi alafu unazungumzia kuwa Hana heshima unatakaje heshima kwa gaidi? Gaidi akuheshimu ili iweje?
 
Kwakweli hii ndo ilikuwa the best way kuhandle ishu hii.
 
Wanachokera wote makambare wanasharubu hawana mpangilio wa nani azungumze hili na lipo azungumze huye wote sauti ya habari
 
Zitto ni hatari sana kwenye vyaa vya upinzani kwa sababu yeye ni CCM B. Anakaribia kuchukua cheo cha Mzee wa kiraracha.
 
Katika Hali ya kawaida kuleta hoja ya mwenyekiti kwenye kikao ambacho chama husika kimesusia ni jambo linalofikirisha na kuzusha maswali mengi.......

Hili jambo linahitaji mjadala mpana na yakinifu kuweza kung'amua yaliyo kwenye mabano......

Mbowe ni mpinzani na mwenyekiti wa chama cha upinzani, ZZK ameomba mwenzao kwa maana ya mpinzani mwenzao aachiwe ili waje waendeleze mapambano, sijaona kosa la ZZK...
 
Japo mimi si shabiki wa Zitto ila la udini unamsingizia na
ni kile wazungu wanaita figment of your imagination unasumbuliwa na Accute Gwajima Admiration Syndrome AGAS
Mkewe mkristo na kama Majaliwa hakumsilimisha
Zitto ni mdini mdini ntarudia hata mara milioni sitabidilisha.
 
Ungejaribu kutafuta uhakika kwanza, halafu ndo uweze kujenga hoja ya uhakika. POLE
 
Huyo jamaa ni mpumbavu, yaani eti serikali wanaweza kumnyonga mbowe kisa watu wanajadili clubhouse?
 
Ni akili timamu kweli kuzungumzia kunyongwa mtu saa hizi!? Hivi vijana nyie uhai wa mtu umeshachuja (devalued) akilini kwenu. Hata nyati humtetea nyati mwenzao anapotishiwa uhai!
Sasa kma unajua mtu anataka heshima alafu nyie hamtaki kushuka, zitto kaenda kutoa hiyo heshima so hta Mbowe angetolewa isingeonekana CHADEMA ni dhaifu maana aliyelialia ni mwingine. So samia wins, CHADEMA wins and zitto wins as a diplomat!!

Sasa kuanza mshambulia zitto na samia wakati kikaoni hatukwenda sio political calculation nzuri.
 
Huyo jamaa ni mpumbavu, yaani eti serikali wanaweza kumnyonga mbowe kisa watu wanajadili clubhouse?
Tupunguze mihemko, sasa clubhouse wanamuita jaji Tiganga Jaji wa michongo hivi huyo jaji hta angeamua kuwa partial anaweza kweli kumuachia Mbowe??

Kule kenya, Rais alimuita Jaji Mkuu mkora!! Aisee toka siku hyo kila kesi serikali inaangushwa!! Provocation zinaleta retaliation. Muda mwingine akili ndogo tu inatosha kumaliza crisis
 
Then huyo judge atakuwa hana ethics.Walevi wanaropoka wewe unajaa upepo!!!
 
Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?
Sioni cha maana alichoongea Zitto, jana kwenye Mariaspace Lema ndio aliesema CHADEMA walimkabizi Mangula hayo makaratasi ya kesi ya mchongo na sababu ya kumkabizi imetajwa.

Na kupewa ajenda zao ni kwa kua wewe Zitto ni mwenyekiti wa hiyo mkusanyiko wa vyama vya makaratasi na umeshindwa kuzifanyia kazi .
Zitto kavurugwa na njaa zake.
Kupuyanga kubaya sana, tulia Zitto.
 
Kwani kosa la Mbowe hadi aombewe msamaha kwa mama ni lipi? Kwanini msiweke wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…