Mnyika kama hili ni kweli ama ujitokeze ueleze hadharani au jiuzulu

Lissu alisema Mnyika alipeleka suala la Mbowe (na mengine) TCD kwa ajili ya kuomba ushirikiano wao katika dai kuwa kesi hizo zinastahili kufutwa kwa sababu ni za kisiasa. Mangula alipinga hoja yao kwa kusema kuwa kesi ya Mbowe ni ya jinai na sio ya kisiasa. Ndipo Mnyika akawakabidhi hayo makabrasha ya Mahakama ( committals) kuwathibitishia kauli yake kuwa ni kesi ya kisiasa na sio ya jinai. Hayo makabrasha ni public information kwa hiyo kila mtu ana haki ya kuyasoma. Na inaelekea alifanya hivi kwa maagizo ya chama chake. Nadhani CDM inatofautiana na Zitto kwenye yeye kutumia lugha ya kubembeleza ( kuomba ) kwenye kitu ambacho wao wanaona ni stahili yao. Kwa maneno mengine, hawataki Mwenyekiti wao aachiwe kwa hisani bali aachiwe kwa sababu ni haki yake.

Amandla...
 
Huwezi kuacha kuongea wakati umeongelewa na haupo mahali hapo. Jinsi Zitto alivyowasilisha ni kama anakubali Mbowe ana hatia kwa hiyo amsamehe. CHADEMA hawakubaliani na tuhuma dhidi ya Mbowe kwa hiyo hawawezi kukubali mtu amhusishe Mbowe na Ugaidi halafu kinafiki umuombee msamaha. Alichotakiwa kusema Zitto maana ni haki yake kusema ni kumwambia Rais kutumia madaraka yake "kumwachia" Mbowe na siyo kutumia madaraka yake "kumsamehe" Mbowe.
 
Pole Zitto...acha kiherehere Chadema mambo yao wanayasimamia wenyewe, kwa kuweka misimamo kupitia vikao na yanawasilishwa na wahusika. Hua hawatumii consultant kama unavotaka kujifanya wewe kuwa msukuma agenda wa Chadema.
Jibu swali wewe
 
Na huu uliosema hapa ndo ukweli.
 
Chama kikuu cha upinzani ni ACT siyo Chadema . Hakuna credit yoyote iliyopata Chadema kwa kugonea kikao huku ikipeleka ajenda zake kimya kimya
 
 
Chama kikuu cha upinzani ni ACT siyo Chadema . Hakuna credit yoyote iliyopata Chadema kwa kugonea kikao huku ikipeleka ajenda zake kimya kimya
Mnateseka sana MaCCM.. mmekosa picha ya kuwaonyesha mabeberu😄
 
Kama jela ni kuzuri kwanini mtu alikimbilia Belgium na mwingine Canada? Hebu acheni Mwenyekiti aachiwe huru akajumuike na familia yake.
 
Pole Zitto...acha kiherehere Chadema mambo yao wanayasimamia wenyewe, kwa kuweka misimamo kupitia vikao na yanawasilishwa na wahusika. Hua hawatumii consultant kama unavotaka kujifanya wewe kuwa msukuma agenda wa Chadema.
Mwenzenu anozea jela nyie huku mnapiga porojo tu, mwacheni Zitto amsaidie Mbowe atoke jela maana cdm limewashinda, mnazani hashtag zinasaidia kitu!!!!
 
Kwani kosa la Mbowe hadi aombewe msamaha kwa mama ni lipi? Kwanini msiweke wazi?
Sasa hayo ni ya zitto na Samia maadam tulisusia kikao hatukupaswa kuongelea!! Tungeendelea na maisha tu ili hta akitolewa na DPP sisi hatuhusiki so serikali inalinda ego yake na CHADEMA inalinda ego yake!!

Kuendelea kupambana na wakati serikali ina nothing to lose ni heroics zisizo na end result!! Tuhifunze kwa Odinga when to play hardcore and when to compromise!!
 
Jibu swali. Maelezo mengine hayo nayajua, isipokuwa sijui kosa analoombewa msamaha Mbowe.
 
Mkuu umefunga kazi. Asante sana.
 
Hamtaki kuwa waoga lk hamuwezi kuwa wababe ninyi mko wap sasa
 
Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?
Zitto atatuchelewesha - aje Mnyika
 
Hv ananjaa gan wewe jmn mbona unakua kama mmekatwa vichwa ninyi watu kila kitu kushadadia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…