Mnyika kama hili ni kweli ama ujitokeze ueleze hadharani au jiuzulu

HAHAHAHAHAHAHHHHH- IMEKULA KWENU
 
Japo mimi si shabiki wa Zitto ila la udini unamsingizia na
ni kile wazungu wanaita figment of your imagination unasumbuliwa na Accute Gwajima Admiration Syndrome AGAS
Mkewe mkristo na kama Majaliwa hakumsilimisha
Zitto ni mdini na udini ulimsaidia kuishi ktk siasa. Washirika wake ni akina Dau, Kikwete na sasa Samia na wote huwamwagia sifa. Hana rafiki mkristu mkongoman huyu.
 
Wangekuwa na akili wangejifunza ANC ilivyo compomise mengi ili wafanikiwe…wangejifunza Seif Sharif ame compromise managapi hadi wakafanikiwa waliyofanikiwa
Siasa ni upepo....

Chadema wamejaza watu wasio na vision ya UHALISIA wa taifa letu lilivyo......

Chambilecho mh.Rais SSH "amani kupitia ncha ya ulimi" wao CDM wamekumbatia "mapanga".... kalaghabaho!
 
unaona eeh, hilo jilissu limekaa huko nje ya nchi kazi yake kubwa ni kuomba pesa ili akale, ndio maana limenenepeana kama pimbi, jitu zima ovyooooooo
Vip mbona unawashwa hivyo?.au kakana mimba aliyokupachika.
 
Zitto ni mdini na udini ulimsaidia kuishi ktk siasa. Washirika wake ni akina Dau, Kikwete na sasa Samia na wote huwamwagia sifa. Hana rafiki mkristu mkongoman huyu.

Nikimuona mwafrika anasimamia HOJA kupitia visingizio vya ulevi wa UDINI najua hamna AKILI HAPO....HAMNA SHULE HAPO hata kama ni profesa wa KUKARIRI.......


#Siempre JMT
 
unaona eeh, hilo jilissu limekaa huko nje ya nchi kazi yake kubwa ni kuomba pesa ili akale, ndio maana limenenepeana kama pimbi, jitu zima ovyooooooo
Dada polepole anakusubiria getoni kwake,kasema nenda na kilainishi
 

Chama kikuu cha upinzani ni ACT wacha kuchanganya mambo

Chama kikuu cha upinzani nj cheo cha mpito anaweza yyte kua chama kikuu cha upinzani ACT ,Chadema ,CCM na ata Cuf sasa acha kukalili na jifunze kuelewa nn maana ya chama kikuu cha upinzani
 
Kesi sio ya chadema ni ya mbowe.mbowe ndiye aliyeshtakiwa,kwahiyo kama mbowe mwenyewe ataona anateseka anao uwezo wakufanya hayo unayosema ili awe huru.
 
Wamefafanua wasiohusika.....

Afafanue Mnyika TUELEWE.....

Amefafanua Makamu Mwenyekiti. Wewe bado unamng'ang'ania Katibu Mkuu? Inavyoelekea hauna uwezo wa kuelewa hata ufafanuliwe na nani. Labda afafanue Shaka ndio utaelewa.

Amandla...
 
Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?
Walimkabidhi mangula Kama nani?
 
Haya mapenzi kwa Mbowe yameanza lini?
Kuna kitu kinaitwa principles. Lugemarila alikataa mambo ya plea bargaining na leo yuko nje na heshima yake ikiwa intact. Nape aliomba msamaha na mpaka leo picha ya akijifuta jasho akielekea kwa Mheshimiwa Rais inafanya watu wengi wamuone opportunist. Ikiwa leo tunaona kudai haki yako na kukataa kuonewa ni msimamo radical basi waliotutangulia watakuwa wanageuka kwenye makaburi yao. Kuomba msamaha kwa kitu ambacho unajua kabisa haukufanya ni ku surrender maana kwa kufanya hivyo umejionyesha unanunulika.

Amandla...
 
Zito ni Mercenary politician maana yake " mwanasiasa mwenye tabia za kimalayamalaya"
 
Chadema ni wajuaji balaa sijapata kuona .zotto naye anakieherehere cha kujipendekeza ili hali wachagaa kama akina lema huwa hawampendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto anataka kubadilisha upepo, atuambie ni nyaraka zipi za kesi Chadema ilimkabidhi mzee Mangula, na kama alikabidhiwa kwa sababu zipi? kama alikabidhiwa kuoneshwa vile haki ya watuhumiwa inavyokiukwa na jaji mahakamani kulikuwa na ubaya gani?
Si umuombe mnyika aliyetoa sasa wew unawezaji kumuomba zito .unafiko na chuki mtaacha lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…